DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,180
- 2,944
Haiclik kichwani kabisa kuna ushahidi wa kimazingira unakufungackua na ratiba ya kwenda home, ila shule nlidanganya narud home, na home hawakua wanajua chochote, maana likizo ndogo, nlikua sirudi home nabaki shule.