Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!!

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
Kuna mengi hapa Ina wezekana Biashara zimekuwa ngumu hasa kwa aina ya Hotel ,wengi wanalala lodge za kawaida ambazo kwa Moro huwa full hasa Wk end au wamiliki wameamua kufanya Mbinu za biashara.
 
Ulienda kujifungia au kufungiwa? Nyosha maelezo bhana.
 
Kuna mengi hapa Ina wezekana Biashara zimekuwa ngumu hasa kwa aina ya Hotel ,wengi wanalala lodge za kawaida ambazo kwa Moro huwa full hasa Wk end au wamiliki wameamua kufanya Mbinu za biashara.
Duuuh bas hatarii, ila palikua pazuri sana palee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom