Kwa Mara ya kwanza jiji la Arusha linakombolewa kwa wapiga dili, wajanja wajanja wa mjini na genge la mafisadi tunampa Gambo mpambanaji wa wanyonge. Matapeli wa siasa waangalie Bunge kwenye TV, tumewachoka saa na mda wa ukombozi umefika!Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.
Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.
Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.
Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?
Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.
Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.
Wasalaam,
Kwani 'Katiba' haimruhusu?Hii thread ni kwa ajili ya kusafisha Ile iliyomtuhumu kutembea na ving'ora au ???!!!
Hata mimi nina uhakika Tanzania haiwezi kutawaliwa na chama kingine zaidi ya CCM.Mimi ndie ninaekuambia sasa. ARUSHA MJINI haitorudi CCM. Ukombozi wa watu wa Arusha ulianza miaka mingi sana,kabla ya uhuru wa Tanganyika na sehemu tuliofikia ni kubwa sana.
Ajaribu kura ya wananchi si sawa na kuteuliwaKwani 'Katiba' haimruhusu?
Arusha ni njema atakaye na ajeMimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.
Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.
Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.
Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?
Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.
Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.
Wasalaam,
Mbaya zaidi yeye anafanya kampeni huku lema katulia tuli, najiuliza kama wote wakaanza kampeni huyo nani sijui gambo atasalimika?Naam, tunamkaribisha Gambo kwenye uchaguzi ajionee kisingeli cha ngaleloo.
Mkuu hata hamna haja ya kutoa maelezo mob, waache wacheze ngoma ya mchana.Sijui kama unaelewa maana ya siasa! Labda kama uchaguzi ni kesho lakini kama ni 2020 yatatokea mengi hata huyo gambo unaweza mkuta ni yupo Rukwa au siyo mkuu wa mkoa tena na hana hadhi ya kugombea ubunge.
AhahaMi mwenyewe nina mpango wa kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini, kinachonisumbua sina kadi ya CHADEMA mana fahari ya watu wa Arusha ni CHADEMA
Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.
Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.
Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.
Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?
Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.
Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.
Wasalaam,[/QUOTE
Wewe ni mpenzi wa chadema tokea lini na wakati wewe ni kada wa CCM na ni miongoni mwa mafisadi wa Uvchukua chako mapema umetumwa na huyo chizi mwenzako umpalilie unadhani Wana Arusha nao Wana siasa za mtandaoni. Tutaona kama atafika 2020 akiwa ARUSHA au akiwa Mkuu wa mkoa. Magesa mlongo yuko wapi, leo analima Majita.
ha ha ni kweli mkuu inawezekana ametumwa kupima upepoNadhani amekutuma kupima upepo
Hatuna mtu anayejiita bavicha na isitoshe wewe ni Uvchukua chako mapema mmetumwa na Gambo kumpimia upepo, mwambieni hana ubavu wa kushindana na mgombea yeyote wa chadema kwa hapa Arusha.Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
zile em 7 umeshazipata nini mkuu,?Hivi unaamini kuwa uongozi wa rais wa sasa ni mbovu sana na 2020 anapigwa chini?
zile em 7 umeshazipata nini mkuu,?
acha uoga, hamna tusi hapo..ndio maana amekutuma upime upepo umsaidie kwenye hiyo mikakati yakeNi Mpenzi wa CDM. Sitaki tupoteze jimbo. Programmu za Mbunge na Baraza la Madiwani alieleweki. Gambo kawekwa hapa kimkakati