Whatever! Jumbo jimbo vyovyote vile. Come 2020. Nasimama.It is my home town and my birth right.Kumbe Jumbo. Ni haki yako
WeWe muongo sio bavicha.Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.
Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.
Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.
Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?
Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.
Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.
Wasalaam,
......mm ni mwana chadema ila na support kaka yangu mrisho gambo agombee ubunge arusha mjini................,,,,,,,WeWe muongo sio bavicha.
1-usingeandika "mrisho gambo gombea ili wapinzani wajifunze'' inamaana wewe sio mpinzani.
2-Inamaana umejisahaulisha siasa ni marufuku mpk 2020? unadhani lema siasa atazifanyia wapi?
Juzi tu hapa kanyimwa dhamana mpka alipogoma kula ndipo akapewa.
3-hauna haja yakudanganya wewe ni bavicha wakati mwanzo wa uandishi wako umesema wewe ni mpenzi "tu'' wachadema.
Arusha unaijua au unaisikia?hivi unaeza toka bagamoyo ukaitetemesha arusha?Wait and see.......
Big up well written,umesema ukweli ata kama wengine itawauma.Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.
Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.
Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.
Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?
Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.
Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.
Wasalaam,
Ukweli utakuweka huruHivi huwezi kutoa maoni yako bila kuingiza maneno ya ukabila..Ukabila, udini au ukanda hauna nafasi katika Tanzania ya leo.Jifunze kuchangia bila kuingiza maneno yenye harufu ya ubaguzi.
Hivi BAVICHA haruhusiwi kuwa na mawazo huru na kusema ukweli?WeWe muongo sio bavicha.
1-usingeandika "mrisho gambo gombea ili wapinzani wajifunze'' inamaana wewe sio mpinzani.
2-Inamaana umejisahaulisha siasa ni marufuku mpk 2020? unadhani lema siasa atazifanyia wapi?
Juzi tu hapa kanyimwa dhamana mpka alipogoma kula ndipo akapewa.
3-hauna haja yakudanganya wewe ni bavicha wakati mwanzo wa uandishi wako umesema wewe ni mpenzi "tu'' wachadema.
Kwa mbinu walizo tumia kulipata jimbo la wenje wakitumia hizo, basi inchi nzima na bunge zima litakua chini ya ccm sio Hai wala mby mjini, sio vunjo wala kawe. yaaani ni kuanzia ulanga mpaka sumbawanga, makete mpaka masasi, mwisho wa leli kigoma, wooooooote watakua ni CCM.Kuna Mtu aliyeamini Ezekia Wenje atakosa Ubunge huko mwanza?
Na ndio tunatakiwa tuwe wa Kweli sio kusema tu Arusha ni ya LemaKwa mbinu walizo tumia kulipata jimbo la wenje wakitumia hizo, basi inchi nzima na bunge zima litakua chini ya ccm sio Hai wala mby mjini, sio vunjo wala kawe. yaaani ni kuanzia ulanga mpaka sumbawanga, makete mpaka masasi, mwisho wa leli kigoma, wooooooote watakua ni CCM.
Siasa za kutatua matatizo ndio zinatakiwa kipindi hiki.. Zile za magamba zimeshiptwa na wakati.. Kuna magamba tena siku Hizi?We Gamba ni lazima utambue kwamba watu wa Arusha wana allegy/mzio na magamba. Hivi huyo Gambo sijui Gamba atamchagua nani wakati mkakati wa wanaarusha ni kuifuta kabisa CCM hasa kumpiga chini diwani wao mmoja aliyesalia na kuhakikisha Arusha inakuwa free from magamba.
Lakini ulijalibu fuatilia jinsi wenje alivyonyanganywa jimbo? itafute kweli, kweli itakuweka huru.Na ndio tunatakiwa tuwe wa Kweli sio kusema tu Arusha ni ya Lema