nikubhilikile uje
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 264
- 243
Tusiongelee ushahabiki wa vyama tuongelee uwalisia kiukwel lema hacpoangalia ccm watampokonya jimbo kwa ss ccm co ya zaman wanaangalia ngome za chadema wanapeleka watu tena wazawa wa humo hyo gambo karetwa kwa kusudi maalumu wakitoka hapo mbeya kwa sugu subir haina haja ya kutukanana muda utanene