Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

CCM wamechokwa sana Arusha...infact sehemu yoyote yenye wasomi kiasi, kipato kizuri/kiasi, werevu na watu wenye "exposure" CCM huwa haipendwi!
kweli, kundi hili ndio wenye uwezo wa kupata habari na kuchambua pumba na mchele. Sishangai ukanda wa habari kubanwa banwa ili kuzuia habari. Lakini wamesahau kuwa hawa wasomi wanajua kusoma nyakati vile vile
 
Pale unapojaribu kuifanya ndoto kuwa kweli! Ni rahis sana upinzani kupoteza majimbo yote ila sio na ARUSHA!! Na kwataarifa yako huko mbulu ulipo sio jimbo la arusha towm!!!
 
Kweli umetumwa ila bahati mbaya hujajipanga.
Umeanza na kusema ni mpenzi wa CDM ila umemaliza ukiashiria ni kada wa CCM.
Unadhan humu ndani wote ni std 7.
 
Arusha wamekomboka kifkra, adui mkubwa wa taifa hili ni ccm, Leo uwaambie walambe matapishi yao kwa kuichagua ccm watakubali wapi! Ccm bakini huko kwa wajinga wenzenu waliokuwa bado wanachangia maji ya kunywa na fisi
 
Yule diwani mmoja tena katikati ya jiji alishindaje?
 
"tofautisha kazi za mbunge na mkuu wa mkoa"..kizazi cha div.5 ni tabu kweli.
 
Back
Top Bottom