Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Nipo Arusha na nazunguka sana Kwa machalii. Mh Lema asipokuwa makini hili Jimbo linaondoka
Unaoteshwa bas endelea maana unaweza pewa Dc wa wilaya ya kusadikika
Et ww chadema umesikia kuna watoto wako humu ambao unaweza kuwadanganya na wasikupinge
 
Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.

Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.

Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.

Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?

Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.

Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.

Wasalaam,
Agombee wapi? A town?? ajipime na kujiangalia kwenye mirror!! jibu Hatoshi hata kwa dawa
 
1474638988091.png
Walimu Wote Washalipwa..

Kazi inaendelea acha Lema aendelee kulala
 
Hehehe... Asante Mh Lema Kwa Kuamka... Sasa kazi naona Imeanza...
 
Siasa za mitandaoni

pia kuendelea kuamini ccm itamnusuru mwananchi yule anaekula mlo mmoja kwa siku ni sawa na kukufuru

mtetezi wa wanyonge ni wapinzani tu na ndiyo waliosababisha hata sasa kuonekana kuna unafuu

lakini huko tulikotoka kabla atuhamshwa na upinzani ccm walituburuza Sana

na sasa wananchi wameshaichoka ccm na mungu pia anawaona.
 
Upinzani ni muhimu mkuu.

Well said.
 
Back
Top Bottom