Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.

Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.

Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.

Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?

Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.

Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.

Wasalaam,

Hivi kuwanyang'anya Madiwani stahiki zao kisheria ndiyo umeona Gambo ni jembe.Hivi allowance hiyo si ndiyo ile Madiwani wa CCM walikuwa wakilipwa miaka kumi ya nyuma au imebadilika?Na kama ipo kisheria basi Gambo hafai kuwa kiongozi.Na kama unampigia debe basi siyo Arusha ninaijua labda Arusha ya Pwani
 
Wana Arusha wamebadilika so inaweza kuwa sio Arusha unayoijua wewe
 
Dogo anapenda sifa.anatembea na ving'ora.vijana hawafai kupewa madaraka makubwa ni matatizo tupu
 
Wana Arusha wamebadilika so inaweza kuwa sio Arusha unayoijua wewe

Hahhahahaha nilikuwa Arusha juzi tu sijaona hayo mabadiliko unayoyasema,Mapka sasa CCM ni wapinzani wakiwa na kiti kimoja cha UDIWANI.
 
Mweeeee.....!

Ila kumbe unadhania tu..... Ndoto za fikra

Nadhani labda iwe labda Arusha chini kule kwa walima vitunguu.....!
 
Mimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.

Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.

Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.

Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?

Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.

Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.

Wasalaam,
Jimbo la Arusha ni chadema daima. Kanda ya kaskazini walishaifuta ccm.
 
1474615442963.jpg

Ukitaka kujua hawa jamaa wanaojiita watetezi wa nchi ni wanafiki jionee hapo,mabazazi na wazandiki waliokubuhu..Laana lazma iwatafune
 
Kwa maneno mengine unamshauri Gambo atumie madaraka yake ya Ukuu wa Mkoa wa Arusha kujiandaa kugombea ubunge wa Arusha Mjini. Huo si utawala bora. [HASHTAG]#Neopatrimonialism[/HASHTAG].
 
Unasahau kuwa mkuu wa mkoa ni Kada wa Chama
 
Ninavyoijua Arusha mjini hata CCM wamsimamishe Yesu na CDM wamsimamishe shetani basi CDM watashinda tu!
 
I was born in Arusha more than three decades ago,so I can say with all authority you are stupid
 
Back
Top Bottom