Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

hakuna kiungo kisicho kuwa na umuhimu mwilini Tako ni habali nyingine fanya Kama unainama mama tulione.
 
Hapana aisee mwanamke lazima ukitembea watu wageuke kidg. Uflati big noo kwa kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si wote wenye makubwa huwapendeza,wapo walioshushwa moja kwa moja kutoka juu...ukimuona tu..unatamani kabisa kumkabizi roho yako.
 
 
Naona unazidi kumkatisha tamaa mleta uzi wakati mwenyewe karidhika na flat yake. 😅
Aridhike kimya kimya asipige makelele tu,,, hahahahaha

Si wajua ile hali ukiwa huna kitu fulani na unakitamani unaishia kujipa matumaini na moyo kwa kukosoa wenye nacho
 
unaenda buchani lazima utataka nyama iliyonona,sio kwa sababu ya mifupa inaongeza mizani..noo
sababu unapenda nyama iliyonona!kalio lolote lazima limenona
 
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann [emoji23]

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio [emoji849] hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu [emoji57]
Nyumba ni choo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏

Wewe ni Flat Screen pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom