Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann [emoji23]

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio [emoji849] hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu [emoji57]
Una shida.Yaani nyumba ni choo ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏
"flat screen" kwa kujimwambafy hamjambo!!
 
Ass siyo tu lazima uwe na big Tako hapana Kaka yangu hata Portable anaweza akakutunuku tu.

Tatizo la wenye Makalio makubwa ukisema Umuoe basi tegemea After 5years After Several Birth Practice
Basi tegemea Atazeeka mpaka utashindwa kuongozana nae.

Tafuta simple tu like me
Utachek hiyo picture nimeikata kipande simple anatoosha siyo huyo mwenye mikalio mikubwa aka Fangasi za kutosha.
View attachment 1362408

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kitakachonizuia nisiuze mashamba ya urithi?
 
Asikwambie mtu nyumba ni choo
IMG_2033.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mleta mada, jikubali na umbo lako ulivyo wapo tunaopenda wasio na makalio makubwa na wapo tunaopenda makalio makubwa... kama waswahili wanavyosema "wewe wasema cha nini wengine wanasema nitakipata lini"

cha umuhimu kila mtu na starehe yake na anafurahia
 
mim nmemzalisha single mothe harafu nikaoa mwingne ambae ni pure,single maza ana chura bara,,,vip wakuu nimuoe na yeye niwe na wake wawil??? maana msambwanda unaniuma kuuacha!!!
 
Ass siyo tu lazima uwe na big Tako hapana Kaka yangu hata Portable anaweza akakutunuku tu.

Tatizo la wenye Makalio makubwa ukisema Umuoe basi tegemea After 5years After Several Birth Practice
Basi tegemea Atazeeka mpaka utashindwa kuongozana nae.

Tafuta simple tu like me
Utachek hiyo picture nimeikata kipande simple anatoosha siyo huyo mwenye mikalio mikubwa aka Fangasi za kutosha.
View attachment 1362408

Sent using Jamii Forums mobile app
So wajanja tutaingia kwenye profile kisha tutachukua avatar hii tunaunga kihisia kwamba KINGSLEE anafanana hivi.hakukuwa na sababu ya kuikata hiyo pic mkuu

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Yote yooota ila fahari ya kondoo, mkia wake. Nyama ya kondoo kinai ya wengi ila kondoo mwenye mkia huvutia wengi kuinunua nyama yake
 
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏
umechanganya mada......makalio hayana uhusiano na kunenepeana hovyo......mwnamke mwenye makalio makubwa anaweza kuihsi vizuri kuliko wewe mwenye degree.....sura hata mbuzi anayo tunataka wowowowo
 
Back
Top Bottom