Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,683
- 98,667
Mmmh!! Nimeanza kuogopaHa ha ha, usiwasikilize hao honey.
Wewe unanijua zaidi.
Mmmh!! Nimeanza kuogopaHa ha ha, usiwasikilize hao honey.
Wewe unanijua zaidi.
Ulitaka uwe kwa nyumbu? Kina nanii?
Itakuwa aibu Sana yaan utajishusha tu..
Sema sie liver kupiga maji kwetu kawaida. 😀😀 Don anajua
nyumbu ni "manjesta unaited "Nyumbu ni kina nani?
Halafu kupiga maji ndio kufanyaje?
Mmmh!! Nimeanza kuogopa
Nyumbu ni kina nani?
Halafu kupiga maji ndio kufanyaje?
Sio kweli kabisa....wewe Seema hupendi mattarcal nasio uanze kuongea usivyovijuaWe ndo hajui kuwa matako makubwa huifadhi harufu chafu!
nyumbu ni "manjesta unaited "
Kupiga maji hapo ni yale mambo Kama ya mlevi mmoja..
🏃 🏃 🏃 🏃
Mnakoelekea siyo kwenyewe.
Nafikiri niwaache tu muendelee.
Hahahahahaha.....Aiseeee wewe unayako. Maji yatakua hayapiti kwenye mstari was equator. BAKI NA MAWAZO YAKOUkweli unakuuma!
Wengi wenu hamjisafishi vizur kwenye mstari wa ikweta
Avatar tu hiyo..ila nina flat moja ya hatari.Huu ni uongo..
Mbona avatar inaonesha mambo yamo? naktaa upo team chogo..
kama umepigwa pasi?
Kwamba kalio lako limepigwa pasi kama mchinaNemesema kunenepa halafu unanenepa na makalio. Hyo flat sijui nini hyo unasema wewe.
Ass siyo tu lazima uwe na big Tako hapana Kaka yangu hata Portable anaweza akakutunuku tu.
Tatizo la wenye Makalio makubwa ukisema Umuoe basi tegemea After 5years After Several Birth Practice
Basi tegemea Atazeeka mpaka utashindwa kuongozana nae.
Tafuta simple tu like me
Utachek hiyo picture nimeikata kipande simple anatoosha siyo huyo mwenye mikalio mikubwa aka Fangasi za kutosha.
View attachment 1362408
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh kajishindwa mwenyewe Mimi ndiyo nimsaidie?
Weeeeeee kalio lina raha yake na na flatscreen inaraha yake kilammoja ana utamuwake msioneane wivu wote nyie mmeumbwa mtupe burudani.Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.
Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂
Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.
Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.
Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏
Basi acha kulalamaMmmh kajishindwa mwenyewe Mimi ndiyo nimsaidie?