Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,842
Wewe Seema tu chagua lako Ni flat screen....Huo uchafu gani ambao upo kwenye kalio mpaka utumie diaba kuoga...Makalio makubwa ni mazuri kwa kuyatazama tu, ukiingia nao kitandani unaanza kuona ni kawaida sanaa tu, Mimi binafsi siwezi kuoa demu mwenye Matako makubwa, Mademu wengi Wenye makalio makubwa ni wachafu I. e poor hygiene, yanahitaji usafi wa hali ya juu ambao wengi wao hawawezi.
Hakuna uhusiano Kati ya kalio kubwa na uchafu...acha uongo kaka
Sent using Jamii Forums mobile app