Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Hivi hizi picha tutakuwa tunasisitiza mpaka lini? Ungeweka picha tuone mfano wa hayo usiyoyapenda
 
Makalio makubwa ni mazuri kwa kuyatazama tu, ukiingia nao kitandani unaanza kuona ni kawaida sanaa tu, Mimi binafsi siwezi kuoa demu mwenye Matako makubwa, Mademu wengi Wenye makalio makubwa ni wachafu I. e poor hygiene, yanahitaji usafi wa hali ya juu ambao wengi wao hawawezi.
Kweli kabisa Mkuu!Janamke lenye matako makubwa likijamba utadhani Sub woofer imetema bass na harufu mbaya inakawia kuisha chumbani!
 
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏
hahahahahahahahaha makalio sio kunenepa kwanza rekebisha hapo, hata ww mwembamba unapendeza ukiwa na umbo ambalo kichwa kinaonekana, nyonga ipo na kitako kimetokez kiaina sio unakalia mgongo jamani mdada mzuri uwe na kituta cha kukalia unapendeza sana. ujue hata ukivaa nguo inapata mahali pa kufunga basi ww unataka uwe kama nguzo ya umeme ?
 
Makalio makubwa ni mazuri kwa kuyatazama tu, ukiingia nao kitandani unaanza kuona ni kawaida sanaa tu, Mimi binafsi siwezi kuoa demu mwenye Matako makubwa, Mademu wengi Wenye makalio makubwa ni wachafu I. e poor hygiene, yanahitaji usafi wa hali ya juu ambao wengi wao hawawezi.
Hiyo nchi unayoishi ambayo wanawake ni wachafu hama fasta jitahidi angalau uje kuishi Tanzania.
 
Ass siyo tu lazima uwe na big Tako hapana Kaka yangu hata Portable anaweza akakutunuku tu.

Tatizo la wenye Makalio makubwa ukisema Umuoe basi tegemea After 5years After Several Birth Practice
Basi tegemea Atazeeka mpaka utashindwa kuongozana nae.

Tafuta simple tu like me
Utachek hiyo picture nimeikata kipande simple anatoosha siyo huyo mwenye mikalio mikubwa aka Fangasi za kutosha.
PicsArt_02-19-11.25.26.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom