Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Hiyo kampen yako ni ngumu kuwashawishi watu wakakuelewa,.. Kura chache zitatoka upande wenu, ila wenye hiyo mizigo wanapata faida nyingi zaidi ukilinganisha na hasara,.. Na kwa upande wa mabaharia kura zitazidi kuwa chache mnooo,.. Naifananisha na kampen ya mzee Hashim Rungwe Spunda,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa machale yangu ya wazi kabisa yananiambia..

Joanah hawezi kuwa na flat screen kama ya mtoa Mada..
Hhahahahahahhahah

Obviously kuwa na makalio makubwa ni tatizo,tena kwa sie wenye makalio malaini/yenye asili ya kutikisika ndio tabu zaidi...unakuta unatembea unajisikia kabisa kuna vitu vinatingishika,i've been there asee ni tabu kweli kweli

Usumbufu!!!
​
 
Uyasemayo ni kweli tupu si nilikuona juzi bhana..
Mzigo umeubeba kweli, mlaini kama unavosema..

Sema ulikuwa Kama haupo free. Jiachieee. Mpaka Don ashangae..

Siku hizi kwenye tackle anavimba kuliko mwenye degree bado wewe tu kuvimba..
 
Eti uliniona juzi 😂😂😂😂😂😂😂

Ukiniona sasa na nilivyokuwa two-three years baq utashangaa 😂😂
Hata hivyo Don Clericuzio hanaga hizo kama unavyomfikiria
 
Eti uliniona juzi 😂😂😂😂😂😂😂

Ukiniona sasa na nilivyokuwa two-three years baq utashangaa 😂😂
Hata hivyo Don Clericuzio hanaga hizo kama unavyomfikiria
aaah umemuita..!
Naweza kupata taswira hata ya Maneno tu vyenye ulivyokuwaga?

Eti Don hapendi? mbona ndo vitu vyake hivyo? 😀😀😀
 
Hivi hutakagi nimuite e?😂😂😂

Kumbe ndio mambo yake?🙆
sasa nimemkimbia kule kwenye uzi wetu wa Liverpool..

Akija hapa si ataniona fisi nafuata nyama yake iliyonona nyuma nyuma? 😀😀
 
sasa nimemkimbia kule kwenye uzi wetu wa Liverpool..

Akija hapa si ataniona fisi nafuata nyama yake iliyonona nyuma nyuma? 😀😀

Yule kwenye Liver sidhani kama anaweza akakuelewa kitu

Usijali,tunaaminiana
 
Halafu sijui imekuaje nimeangukia kwa shabiki wa liver aseee!
Ulitaka uwe kwa nyumbu? Kina nanii?
Itakuwa aibu Sana yaan utajishusha tu..

Sema sie liver kupiga maji kwetu kawaida. 😀😀 Don anajua
 
Back
Top Bottom