Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Hhahahahahahhahah

Obviously kuwa na makalio makubwa ni tatizo,tena kwa sie wenye makalio malaini/yenye asili ya kutikisika ndio tabu zaidi...unakuta unatembea unajisikia kabisa kuna vitu vinatingishika,i've been there asee ni tabu kweli kweli

Usumbufu!!!

Kwahiyo wewe una makalio makubwa na malaini?
 
Wew wasema ila hayo mmalizane wnyew maana hata mm mke wangu sipend awe na mzgo mkubwa kidogo tu unatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
images%20(1).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke bila tako ni sawa na business plan bila mtaji.

-Kaveli-
Kwa uzoefu wangu wanawake wenye makalio aka matako makubwa hawana akili za maisha na wengi wao ndo wanamigogoro ya ndoa, wanapenda kushinda katika vioo ni warahisi sana kupigwa mzigo maana wanazani makalio yao ndo mtaji
 
Hahahaaa labda sio kalio hizi tunazozifahamu sisi wanaume, binafsi naonaga mwanamke mwenye msambwanda anajiamini sana sasa sjui ww ulikumbwa na dhoruba gani hata ushinde ndani au ulivimbavimba ukawa kama sanamu badala ya kuwa na mvuto, usicheze na msambwanda aisee maana unaupunguzia pointi cha msingi ni kutulia tu habari ya kunenepa hiyo ni yako binafsi ila sie tunaangalia chura limo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom