Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,436
Mwanamke bila chura..... Mmmh
Sent using Jamii Forums mobile app
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa chura!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa chura!
Haka Kandito kazuri sana aisee! Ngoja niifute hii comment kabla Noyeyo hawajaiona
Chura kama hii unaanzaje kuikataa kwa mfano?!
Chura kama hii unaanzaje kuikataa kwa mfano?!View attachment 1362316
my name is my name atakuwa amechanganyikiwa au anaona wivu tu.Kunenepa kuna uhusiano wowote na title ya post? Waweza nenepa na kalio bado likawa flat tu
Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
Wengi wanaliwa nyuma ndio maana wanapenda hayo matatizoMimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.
Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann [emoji23]
Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.
Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.
Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio [emoji849] hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu [emoji57]
Huwashangai wanaopenda bikra huku wao wamefunua funua kila mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kati ya topic pendwa humu jf na ile ya bikra wanaume huwa wanachangia mnoWanaume mnaochangia huu uzi mnatutia aibu wenzenu kwa sababu huu uzi umewalenga wanawake wenzake.
Unalo la haja sio??
Mimi una uhakika sina?Mwanamke mwenye bikra ana thamani sana mama, huwezi kujiringanisha nae ata siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maelezo haya,nishakupatia picha ulivyo...utakuwa na vitako flati kama chapatiMimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.
Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂
Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.
Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.
Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏