Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Mar 27, 2022 Thread starter #141 Smart911 said: Anajitahidi... Click to expand... Siku zote hip hop haijawahi kuiangusha jamii. -Kaveli-
Smart911 said: Anajitahidi... Click to expand... Siku zote hip hop haijawahi kuiangusha jamii. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Mar 27, 2022 Thread starter #142 Mzazi ongea na mwanao. Live long maalim Nash. Endelea kuandika. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Mar 27, 2022 Thread starter #143 Analyse said: Album yake ya kwanza kabisa Mzimu wa Shaaban Robert ilipotoka, niliinyaka fasta. Click to expand... Itafute pia album 'Hazina Sura ya Kwanza' upate ladha na dar'sa. Pia ushasikiliza album 'Mchochezi'? Ni faya mkuu. -Kaveli-
Analyse said: Album yake ya kwanza kabisa Mzimu wa Shaaban Robert ilipotoka, niliinyaka fasta. Click to expand... Itafute pia album 'Hazina Sura ya Kwanza' upate ladha na dar'sa. Pia ushasikiliza album 'Mchochezi'? Ni faya mkuu. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Mar 27, 2022 Thread starter #144 mrangi said: Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi Mbn hawa wakata mauno wanatawala Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app Click to expand... Maalim Nash alishajibu hilo kwenye tracks zake mbili: 'Maneno' na/au 'Soko na Pesa'. -Kaveli-
mrangi said: Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi Mbn hawa wakata mauno wanatawala Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app Click to expand... Maalim Nash alishajibu hilo kwenye tracks zake mbili: 'Maneno' na/au 'Soko na Pesa'. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Aug 1, 2023 Thread starter #145 Analyse said: Album yake ya kwanza kabisa Mzimu wa Shaaban Robert ilipotoka, niliinyaka fasta. Click to expand... Sasa keshapakua 'MHADHIRI'... album iliyoshiba ladha na ujumbe konki. -Kaveli-
Analyse said: Album yake ya kwanza kabisa Mzimu wa Shaaban Robert ilipotoka, niliinyaka fasta. Click to expand... Sasa keshapakua 'MHADHIRI'... album iliyoshiba ladha na ujumbe konki. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Aug 1, 2023 Thread starter #146 Lucky Star said: Mashairi mazuri, uimbaji mzuri pia. Hakika anaitendea haki kazi yake Click to expand... Ameshapakua Album mpya ya kuitwa 'MHADHIRI'... ni faya mbaya mkuu! Wakati unasikiiza hii album, hautoruka ukurasa. -Kaveli-
Lucky Star said: Mashairi mazuri, uimbaji mzuri pia. Hakika anaitendea haki kazi yake Click to expand... Ameshapakua Album mpya ya kuitwa 'MHADHIRI'... ni faya mbaya mkuu! Wakati unasikiiza hii album, hautoruka ukurasa. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Aug 1, 2023 Thread starter #147 mrangi said: Track adimu hii... Madini tupu humo... Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app Click to expand... Maalim keshapakua album mpya ya kuitwa'MHADHIRI'... ni faya mbaya mkuu, hautoruka ukurasa! -Kaveli-
mrangi said: Track adimu hii... Madini tupu humo... Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app Click to expand... Maalim keshapakua album mpya ya kuitwa'MHADHIRI'... ni faya mbaya mkuu, hautoruka ukurasa! -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Aug 1, 2023 Thread starter #148 Mnyatiaji said: Anachana vyema sema ana connection chache Click to expand... Amefanikiwa kujenga fan base yake kwenye online platforms. Anasonga poa si haba. -Kaveli-
Mnyatiaji said: Anachana vyema sema ana connection chache Click to expand... Amefanikiwa kujenga fan base yake kwenye online platforms. Anasonga poa si haba. -Kaveli-
Number ni 26 JF-Expert Member Apr 3, 2019 1,483 2,845 Aug 1, 2023 #149 Kuna ile ngoma yake ya "mitihani" naikubali sana
Licking Wounds JF-Expert Member Nov 28, 2014 3,809 4,865 Aug 2, 2023 #150 Kaveli said: Flow yake inaburudisha! Maudhui yake yanafundisha! Mkuu, umeshaisikiliza 'Beti' ? -Kaveli- Click to expand... Nofanyie wepesi niipate hii ngoma mkuu Kaveli
Kaveli said: Flow yake inaburudisha! Maudhui yake yanafundisha! Mkuu, umeshaisikiliza 'Beti' ? -Kaveli- Click to expand... Nofanyie wepesi niipate hii ngoma mkuu Kaveli
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,149 8,186 Aug 2, 2023 Thread starter #151 Licking Wounds said: Nofanyie wepesi niipate hii ngoma mkuu Kaveli Click to expand... Sio poa mkuu. Tumchangie mwamba kwa kununua kazi zake. Nunua na album yake mpya ya kuitwa 'MHADHIRI' upate ladha adhimu kutoka kwa Maalim wa mitihani. -Kaveli-
Licking Wounds said: Nofanyie wepesi niipate hii ngoma mkuu Kaveli Click to expand... Sio poa mkuu. Tumchangie mwamba kwa kununua kazi zake. Nunua na album yake mpya ya kuitwa 'MHADHIRI' upate ladha adhimu kutoka kwa Maalim wa mitihani. -Kaveli-
Licking Wounds JF-Expert Member Nov 28, 2014 3,809 4,865 Aug 2, 2023 #152 Kaveli said: Sio poa mkuu. Tumchangie mwamba kwa kununua kazi zake. Nunua na album yake mpya ya kuitwa 'MHADHIRI' upate ladha adhimu kutoka kwa Maalim wa mitihani. -Kaveli- Click to expand... Nichekie contacts zake niruke nae maalim mwenye ruhani la mitihani
Kaveli said: Sio poa mkuu. Tumchangie mwamba kwa kununua kazi zake. Nunua na album yake mpya ya kuitwa 'MHADHIRI' upate ladha adhimu kutoka kwa Maalim wa mitihani. -Kaveli- Click to expand... Nichekie contacts zake niruke nae maalim mwenye ruhani la mitihani