Nasaliti Chama Rasmi....!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Kwa wanachama wote (Chama Cha Mabachela wa JF).
Kupitia Kwa Mlezi Wa Chama babu Asprin.

Natangaza mapema kabisa kuwa mimi Katavi nikiwa na akili timamu, nitajitoa kwenye chama hiki ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Ninatangaza mapema ili msiponiona katika vikao vya chama basi mjue nipo katika chama pinzani nikipitia sheria na kanuni zao (chini ya uangalizi wa FirstLady1 na wenzake) kabla sijapokelewa rasmi.

Ila sijajitoa bado kwa hiyo mwenyekiti na katibu wa chama msinitenge, nategemea tutaendelea kushirikiana mpaka siku nitakaporudisha rasmi kadi ya uanachama.
 
Karibu sana Katavi nlikuwa nakusubiri kwa hamu kipandee hii..
je waweza ku harakisha (hama mapema) lol:wink2:
 
Last edited by a moderator:
Dah...Kwaheri bana...sisi bado tupotupo sana..ulikuwa na wadhifa gani nianze kampeni za kuuchukua!??
 
Mkuu Mentor mimi nilikuwa mjumbe wa mkutano mkuu hahahaaaah!!

Nadhani ujumbe unahitaji uteuzi tu haupigiwi kura...basi babu Asprin, naomba nianze kukaimu nafasi hiyo kabla sijaapishwa rasmi atakapoondoka bwana Katavi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom