Nasaliti Chama Rasmi....!

Nasaliti Chama Rasmi....!

Kwa wanachama wote (Chama Cha Mabachela wa JF).
Kupitia Kwa Mlezi Wa Chama babu Asprin.

Natangaza mapema kabisa kuwa mimi Katavi nikiwa na akili timamu, nitajitoa kwenye chama hiki ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Ninatangaza mapema ili msiponiona katika vikao vya chama basi mjue nipo katika chama pinzani nikipitia sheria na kanuni zao (chini ya uangalizi wa FirstLady1 na wenzake) kabla sijapokelewa rasmi.

Ila sijajitoa bado kwa hiyo mwenyekiti na katibu wa chama msinitenge, nategemea tutaendelea kushirikiana mpaka siku nitakaporudisha rasmi kadi ya uanachama.
Mkuu karibu sana kwenye chama.....

ila ujue hiki chama kinahitaji watu ngangari wasiohitaji boosting kwenye yale mambo flani. Watakucheka kina cacico, BADILI TABIA na Yummy

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ujumbe unahitaji uteuzi tu haupigiwi kura...basi babu Asprin, naomba nianze kukaimu nafasi hiyo kabla sijaapishwa rasmi atakapoondoka bwana Katavi!
Angalia usichelewe sana mangi... madhara ya kuchelewa mbegu zinajazana kiasi kwamba ukiingia chamani, bao moja unaibuka na kijiji. Umeona yaliyomkumba Erickb52?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Karibu kwenye chama chetu. Hongera kwa kuuaga ukapera! Soma sana Sheria za ndoa Na uzishike zisije zikakushinda.
 
Angalia usichelewe sana mangi... madhara ya kuchelewa mbegu zinajazana kiasi kwamba ukiingia chamani, bao moja unaibuka na kijiji. Umeona yaliyomkumba Erickb52?

attachment.php
Dah Asprin hizi picha zako kiukweli huwa zinanifurahisha sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo Bishanga..............by the way naomba na wewe unipe muongozo wa kuingia katika chama chenu.

Mwongozo wa bishanga? Kwenye mambo ya ndoa? Ngoja nim consult baba wa kiroho Rev masanilo.will be back soon.
 
Last edited by a moderator:
Katavi, kama umeamua kwenda huko na kulitosa chama letu poa sisi tutaliendeleza kwa umakini na kwa ubunifu mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Hizo mbwembwe za kuondokea chamani ole wako urudi na manundu ooh yamenishinda kule muziki hauchezeki eti nilizoea kiduku kule kuna twist sizitaki mbichi zile.lol
 
Back
Top Bottom