Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

hofu ya mwenyezi mungu inakuja vipi il hali wachungaji na viongozi wa dini wanakiri wazi kabisa wanauza madawa ya kulevya?
Mufalme ya amani Tiiai: fanyeni wanayoyasema, msiige wayafanyayo asema Bwana wa Majeshi.

Na mtaunganishana weeee mpaka na ndugu na wake/waume zenu humo humo.
Na wewe mwenyewe ukiwemo.........
 
Mufalme ya amani Tiiai: fanyeni wanayoyasema, msiige wayafanyayo asema Bwana wa Majeshi. Na wewe mwenyewe ukiwemo.........
As if.....Mtamalizana wenyewe huko mi simo.
 
ukiona uzi kama huu inabidi ujiangalie mwenyewe kwanza ndo ukomenti vinginevyo wakuu unajipiga madongo mwenyewe kiupande wangu...no comment!
 
Katika utafiti jumlisha basi kutafuta solution... yaani baada ya kuyaanika nini kifanyike kwa walengwa??
Hebu soma hiyo bluu hapo chini

Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!



Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.
 
ODM ndo maana nakupenda....umenena vema,hata hivyo nimekumisssssssss
 
hofu ya mwenyezi mungu inakuja vipi il hali wachungaji na viongozi wa dini wanakiri wazi kabisa wanauza madawa ya kulevya?

Hapo sasa! Mfalme wa amani hii avatar yako mpya inanifanya nimmiss baby wa amani...
 
Back
Top Bottom