BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
mmmmmmmmh ni kweli
nimeitika karen love,nilikumiss pia mzima lkn? :hug:Nakusalimia mama wa hekima, nimekumiss! Hope wewe u mzima huko church?
bado niko mlimani kuhamia bondeni ni kuanguka kiroho..either kwa kucheat n.kKanisa lilelile la mlimani au umehamia bondeni?
nimeitika karen love,nilikumiss pia mzima lkn? :hug:
hahaha! Karen komunyo ndo nani tena Ti mi namzungumzia Gaileen..hahahahaha!....baby wa amani ndo nani sasa?gaileen?au caren komunyo?
Sasa mama wa kwanza, infidelity si imeshindikana kukwepeka, kwahiyo kilichobaki ni kuinfidelaiz responsibli!Mie nikajua unawambia waache kucheat...Kama ni mapishi wawe wanakuja na viungo mbadala vya kunogesha
Iliki kwa harufu nzuri ya chakula ,mdalasini na Giligiliani kwa test nzuri ya chakula
haya tena kumekucha
Ewaa sasa ukianguka hakikisha unacheat responsibly, sawa eh?bado niko mlimani kuhamia bondeni ni kuanguka kiroho..either kwa kucheat n.k
amen amen luv,keep smilling n'much blessingsNafurahi kusikia dear. Niko mzima. Thanks and stay blessed....:hug:
Sasa mama wa kwanza, infidelity si imeshindikana kukwepeka, kwahiyo kilichobaki ni kuinfidelaiz responsibli!
Ewaa sasa ukianguka hakikisha unacheat responsibly, sawa eh?
Sasa mama wa kwanza, infidelity si imeshindikana kukwepeka, kwahiyo kilichobaki ni kuinfidelaiz responsibli!
Ewaa sasa ukianguka hakikisha unacheat responsibly, sawa eh?
Umenikumbusha ligi moja hivi humu humu, nakumbuka ulivokomalia msimamo wako!Umeona sasa Iribini anajirudi mwenyewe!Ukweli ndo huo, kwa nini umechukua muda mrefu hivi kutambua hilo? poleni infidelitors wote from the bottom of my heart.
Infidelity ni kwa wale walio katika mkataba wa mapenzi..... kama umechumbia afu ukatoka nje ya makubaliano ya uchumba ndo hivyo tena ushakiuka........ ni infidelity ndogo hiyo......... afu ndugu yangu ukianza kucheat kipindi cha uchumba, ukioa ujue ndo balaa zaidi...........!Hivyoeee...(hivi infidelity inaaplly pia kwa wasio na ndoa akini wako kwenye mahusiano yaelekeayo kwenye ndoa!??)
Babu, mjukuu kavunjwa moyo leo!! msaada...
mi sijasema ..... Ila nashuhudia umechelewa kutambua kuwa huwa mnatungana kama mishikaki kwenye hili suala zima!Nimejirudi vipi mamushka? Inamaana nlikuwa singonoki responsibly?
Weka neno linisaidie kwenye utafiti naoendelea kuufanya.......... huu utawahusu mwenye ndoa anapocheat na mwenyendoa mwingine........We umeoa/olewa?(babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti).
Mimi sasa babu nasubili uamke na utafiti huo mwingine ndo niweke neno langu sasa,.