NASA ARTEMIS: Marekani kurudi tena mwezini

mwezi ni gaseous plasma, is non landable. Hakuna binadamu aliwahi kutua mwezini na haitatokea atue mwezini. Kama mtu bado unaamini eti wamarekani walitua mwezini, wewe ni mgonjwa wa akili na elimu uliyonayo haijakusaidia chochote. Ushahidi upo wazi hata kwa kugoogle tu utaupata.

moon landing was just a movie in a theater, Albert Brocoli alijaribu kuwaonyesha wanadamu kuwa moon landing was feki alipotengeneza james bond movie akaiiita Diamonds are forever (1971) mwanzoni mwa movie. Mazingira ya mwanzoni kabisa, he sent a message.

NASA is an instrument used to inflict fear and control the civilization.
Watu8
 
Labda hii mission itawajibu wale wanaopinga kwamba hakuna mwanadamu aliyeweza kukanyaga juu ya uso wa mwezi...
you are only indoctrinated. Tumia elimu uliyonayo kuhoji kilakitu ulichoambiwa na kufundishwa ikiwa ni kweli au la...ndipo utakuwa huru
 
Je, elimu ya kujua ya kwamba mwezi umeundwa na 'gaseous plasma' umeitoa wapi?

Sioni sababu ya kubishana vitu ambavyo sote siye wa dunia ya 3 twajifunza kupitia machapisho ya watu wengine...

Hakuna ukomo wa kufikiri, hivyo usimuite mtu hana akili kwa kuwa tu unakinzana naye ukomo wa fikra
 
Do your own research. ukishajua utanitafuta. NASA is not what you have brainwashed to think it is
 
UPDATE:
Kuna tatizo kwenye moja ya engine ya SLS hivyo wamesitisha kulaunch hiyo roketi
 
wakati sisi bado tunahangaika na TOZO ili tujenge madaraja, kununua madawa na madawati na kujenga mashimo ya vyoo katika shule za msingi...wenzetu...aisee !!
Halafu utasikia USA(Beberu)asitutishe anataka kutuua tu!!hivi kweli kwa hayo madude yao, akiamua kweli kutumaliza si ni sekunde tu!!eti jembe letu walilitafuta sana ila wakalishindwa!!kwani lilikuwa linawapinga sana!!majamaa yako Florida ila yanaona nchi yako kila kona!!
 
hiyo ndiyo tofauti na Mtu mweupe na mweusi ambapo mweusi hana muda hata wa kutengeneza kijiko bali atanunua kilichotengenezwa ya nini kuumiza kichwa.
 
UPDATE: Hatimae Leo Rocket ya SLS ambayo inatumika kwenye Artemis I mission imefanikiwa kuruka baada ya majaribio kadhaa kushindikana hapo nyuma kutokana na kuvuja kwa Hydrojeni pamoja na Hali ya hewa
 
mwezi ni gaseous plasma, is non landable. Hakuna binadamu aliwahi kutua mwezini na haitatokea atue mwezini. Kama mtu bado unaamini eti wamarekani walitua mwezini, wewe ni mgonjwa wa akili na elimu uliyonayo haijakusaidia chochote. Ushahidi upo wazi hata kwa kugoogle tu utaupata.

moon landing was just a movie in a theater, Albert Brocoli alijaribu kuwaonyesha wanadamu kuwa moon landing was feki alipotengeneza james bond movie akaiiita Diamonds are forever (1971) mwanzoni mwa movie. Mazingira ya mwanzoni kabisa, he sent a message.

NASA is an instrument used to inflict fear and control the civilization.
Ingekuwa ni Russia, China au Iran ndio subject wa hili swala wala usingeongea hivyo ila ungewamwagia sifa kemkem kwa umahiri wao lakini kwa bahati mbaya ni wale wale wa usiyempenda kaja.
 
mkuu unahitaji akili ya ziada kujua kwa nini NASA ilianzishwa. Nani mwanzilishi, kabla ya NASA na baada ya antactical treat 1958 tasnia ya masuala ya anga ilikuwaje na watu walijua nini kuhusu muundo wa dunia, na ni kwa nini kila rocket inayorushwa huonekana inadrift kuelekea bermuda triangle na ni kwa nini logo ya nasa ina alama ya ulimi wa nyoka. Na ni kwa nini ili uende antactical lazima upate kibali cha pentagon.(nakushauri uingie Youtube tafuta video za Admiral Bird aliyefanya expedition atactical) au search for Operation fishbowl, Operation High jump...utajua mambo mengi na kubadili mtazamo wako

PIa ujiulize kwa nini mkurugenzi wa kwanza wa nasa, a NAZI rocket scientist Mr Von Braun kwenye kaburi lake amenukuu Zaburi 19:1 KJV inayosema ...."The heavens declare the glory of God; and the firmament sheweth his handywork." katika hili search for Operation Paper Clip, utajua namna america ilivyo wahamisha NAZIS geneous scientist kutoka ujerumani kwenda marekani na hao ndiyo wakaanzisha nasa

Do your own research what is a firmament, antactica treat, moonlanding....satellites etc......if we have satellites why 95% of internet and telephone data transmissions depends on submarines cables?

Hizo russia, iran au china unazosema sijui though some people think is just a scum cause you can not tell me america are enemies of russia, iran kisha huko angani ni marafiki. Hizo zaweza kuwa idara tu in NASA kama hila/mchezo wa kusema kuna ugaidi ilhali ni mchezo wa CIA

It is better to use your education to question all that we have benn made to believe (indoctrinated)
 
Sisi bongo bado tunalia na visima vya maji Safi ya kunywa
Ila kuna....
=
Baada ya kuona Uganda wame......
1668662292988.png
 
Shukrani sana kwa mchango wako ulio kwenda shule, Amerika huwa haitaki kusema ukweli kuhusu mchango mkubwa wa wanasayansi na mainjinias wa NAZI Germany walivyo changia kwenye sayansi ya Roketi na outer space exploration huko Merikani bila ya wao wala Merikani hisingepiga hatua yoyote kwenye masuala si ya sayansi ya roketi tu bali hata masuala jet engines ,kabla ya hapo Wamerikani walikuwa viroketi mshenzi vilivyo tengenezwa kwenye back yard na Goddard vinarushwa kwa kutumia solid fuel unlike modern NAZI Germany rocket V2 iliyo kuwa inatumia liquid fuel za hydrongen na Oxygen kila fuel ikiwa na an independet cetrifugal pump the designs were light years ahead of everybody.

Wamerikani hawakuishia kubeba wanasayansi tu na mainjinia wa Kijerumani, walibeba mpaka blue prints za masuala ya jet engines mfano: BMW jet engine zilizo kuwa zinatumika kwenye jet figters, walibeba vile vile blue prints za flying wing eg Orten flying wing actually hawakubeba blue prints tu waliiba vile vile flying wing yenyewe kutoka kiwandani, wakaliiba Me-262 jet fighter nzima nzima.

Binafsi huwa namu-admire sana Dr.Werner Von Braun this man was unquestionably mega smart upstairs pamoja na group nzima za Wajerumani wenzake walio letwa Merikani kupitia operation paper clip.

Mambo ni mengi mno, cha ajabu ni watu wachache wanao yajua hayo - hata ukijaribu kuwaeleza mtabishana usiku kucha. Once again thanks a lot.
 
Shukrani sana kwa mchango wako ulio kwenda shule, Amerika huwa haitaki kusema ukweli kuhusu mchango mkubwa wa wanasayansi na mainjinias wa NAZI Germany walivyo changia kwenye sayansi ya Roketi na outer space exploration huko Merikani bila ya wao wala Merikani hisingepiga hatua yoyote kwenye masuala si ya sayansi ya roketi, kabla ya hapo Wamerikani walikuwa viroketi mshenzi vilivyo tengenezwa kwenye back yard na Goddard vinarushwa kwa kutumia solid fuel unlike modern NAZI Germany rocket V2 iliyo kuwa inatumia liquid fuel za hydrongen na Oxygen kila fuel ikiwa na an independet cetrifugal pump the designs were light years ahead of everybody.

Wamerikani hawakuishia kubeba wanasayansi tu na mainjinia wa Kijerumani, walibeba mpaka blue prints za masuala ya jet engines mfano: BMW jet engine zilizo kuwa zinatumika kwenye jet figters, walibeba vile vile blue prints za flying wing eg Orten flying wing actually hawakubeba blue prints tu waliiba vile vile flying wing yenyewe kutoka kiwandani, wakaliiba Me-262 jet fighter nzima nzima.

Binafsi huwa namu-admire sana Dr.Werner Von Braun this man was unquestionably mega smart upstairs pamoja na group nzima za Wajerumani wenzake walio letwa Merikani kupitia operation paper clip.

Mambo ni mengi mno, cha ajabu ni watu wachache wanao yajua hayo - hata ukijaribu kuwaeleza mtabishana usiku kucha. Once again thanks a lot.
people are indoctrinated so much that akili zao wameziazimisha kwa wengine na wao wamelala usingizi. Waking up is a hard process.

Cha kusikitisha, inventions zote za Nicola Tesla wamezificha wamezifungia hawataki kuzitoa maana wanajua wakizimwaga na nchi kama Japan au china wakazipata, dunia itabadilika sana. They want to continue enslaving mankind kwa ghilba zao
 
mkuu unahitaji akili ya ziada kujua kwa nini NASA ilianzishwa. Nani mwanzilishi, kabla ya NASA na baada ya antactical treat 1958 tasnia ya masuala ya anga ilikuwaje na watu walijua nini kuhusu muundo wa dunia, na ni kwa nini kila rocket inayorushwa huonekana inadrift kuelekea bermuda triangle na ni kwa nini logo ya nasa ina alama ya ulimi wa nyoka. Na ni kwa nini ili uende antactical lazima upate kibali cha pentagon.(nakushauri uingie Youtube tafuta video za Admiral Bird aliyefanya expedition atactical) au search for Operation fishbowl, Operation High jump...utajua mambo mengi na kubadili mtazamo wako

PIa ujiulize kwa nini mkurugenzi wa kwanza wa nasa, a NAZI rocket scientist Mr Von Braun kwenye kaburi lake amenukuu Zaburi 19:1 KJV inayosema ...."The heavens declare the glory of God; and the firmament sheweth his handywork." katika hili search for Operation Paper Clip, utajua namna america ilivyo wahamisha NAZIS geneous scientist kutoka ujerumani kwenda marekani na hao ndiyo wakaanzisha nasa

Do your own research what is a firmament, antactica treat, moonlanding....satellites etc......if we have satellites why 95% of internet and telephone data transmissions depends on submarines cables?

Hizo russia, iran au china unazosema sijui though some people think is just a scum cause you can not tell me america are enemies of russia, iran kisha huko angani ni marafiki. Hizo zaweza kuwa idara tu in NASA kama hila/mchezo wa kusema kuna ugaidi ilhali ni mchezo wa CIA

It is better to use your education to question all that we have benn made to believe (indoctrinated)
Umeandika kwa hisia za kidini zaidi ila kwa bahati mbaya mimi siamini katika mambo ya Meta-Physics hivyo mimi naamini kwamba kinachofanyika Nasa ni sayansi tu.

Naona unaihusisha hata CIA na ugaidi kwa sababu tu ya imani utafikiri hao wageni wasingekuja kwetu kutafuta watumwa msingemjua Mungu.
 
Inauma Sana kuona maf@la kama nyie bàdo mnaishi.
mwezi ni gaseous plasma, is non landable. Hakuna binadamu aliwahi kutua mwezini na haitatokea atue mwezini. Kama mtu bado unaamini eti wamarekani walitua mwezini, wewe ni mgonjwa wa akili na elimu uliyonayo haijakusaidia chochote. Ushahidi upo wazi hata kwa kugoogle tu utaupata.

moon landing was just a movie in a theater, Albert Brocoli alijaribu kuwaonyesha wanadamu kuwa moon landing was feki alipotengeneza james bond movie akaiiita Diamonds are forever (1971) mwanzoni mwa movie. Mazingira ya mwanzoni kabisa, he sent a message.

NASA is an instrument used to inflict fear and control the civilizatiol
 
Shukrani sana kwa mchango wako ulio kwenda shule, Amerika huwa haitaki kusema ukweli kuhusu mchango mkubwa wa wanasayansi na mainjinias wa NAZI Germany walivyo changia kwenye sayansi ya Roketi na outer space exploration huko Merikani bila ya wao wala Merikani hisingepiga hatua yoyote kwenye masuala si ya sayansi ya roketi tu bali hata masuala jet engines ,kabla ya hapo Wamerikani walikuwa viroketi mshenzi vilivyo tengenezwa kwenye back yard na Goddard vinarushwa kwa kutumia solid fuel unlike modern NAZI Germany rocket V2 iliyo kuwa inatumia liquid fuel za hydrongen na Oxygen kila fuel ikiwa na an independet cetrifugal pump the designs were light years ahead of everybody.

Wamerikani hawakuishia kubeba wanasayansi tu na mainjinia wa Kijerumani, walibeba mpaka blue prints za masuala ya jet engines mfano: BMW jet engine zilizo kuwa zinatumika kwenye jet figters, walibeba vile vile blue prints za flying wing eg Orten flying wing actually hawakubeba blue prints tu waliiba vile vile flying wing yenyewe kutoka kiwandani, wakaliiba Me-262 jet fighter nzima nzima.

Binafsi huwa namu-admire sana Dr.Werner Von Braun this man was unquestionably mega smart upstairs pamoja na group nzima za Wajerumani wenzake walio letwa Merikani kupitia operation paper clip.

Mambo ni mengi mno, cha ajabu ni watu wachache wanao yajua hayo - hata ukijaribu kuwaeleza mtabishana usiku kucha. Once again thanks a lot.
Lakini ndugu USA si ni taifa la kukusanya kusanya tu watu wenye Uwezo flani flani! Namaanisha kwamba mtu flani akishapewa uraia anahesabika Kama mmarekani? So sioni shida Kama waliwachukua watu wenye asili ya utaifa fulani wakawatumia kwa manufaa hivyo wwtasema wamevumbua wao maana waliitwa wamarekani baada ya kupewa Uraia.
 
Umeandika kwa hisia za kidini zaidi ila kwa bahati mbaya mimi siamini katika mambo ya Meta-Physics hivyo mimi naamini kwamba kinachofanyika Nasa ni sayansi tu.

Naona unaihusisha hata CIA na ugaidi kwa sababu tu ya imani utafikiri hao wageni wasingekuja kwetu kutafuta watumwa msingemjua Mungu.
hakuna dini hapo wewe jifunze kushughulisha ubongo wako. umeshupalia sentensi moja tu...hizo operation za exploration antactica zina udini gani? Kuhamisha NAZI rocket scientists kuna udini gani?
 
Back
Top Bottom