Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,169
- 9,498
Mpango wa anga za mbali maalum kwa ajili ya uchunguzi wa mwezi ujulikanao kama Artemis upo mbioni kukamilika.
Mpango huu unahusisha ushirikiano na mataifa mbalimbali ikiwemo EU,Canada huku Africa tukiwakilishwa na Afrika kusini. Pia unahusisha mashirika na makampuni binafsi kama space X,Air bus na kampuni nyinginezo.
Tarehe 29 mwezi huu (siku ya jumatatu) chombo kitachobeba wanaanga kiitwacho SLS (kwenda mwezini) kitafanyiwa majaribio.
SLS ndo roketi yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa na NASA.
Tizama hapa chini kuelewa zaidi kuhusu program hii
Mission ya kurudi tena mwezini inatarajia kufanyika mwaka 2024.
HATIMAE Leo 16/11/2022. SLS imefanikiwa kuruka