loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,274
- 5,210
Binadamu ni kiumbe mchoyo sana.
Kesho tarehe moja April 2026 chombo chenye nguvu cha shirika la anga za juu Marekani NASA Artemis 2 kitaipeleka Orion capsule kuizunguka mwezi na kurudi duniani.
Wanaanga wanne watakuwa kwenye hiyo "mishen" mwanamke mmoja pamoja na nigger mwenzetu ambaye atakuwa rubani ambalo ni jambo la kupendeza kwa matumbi.
Ila kwa upande wangu naomba hiyo mishen isifanikiwe chombo kisiwake.
Huwezi ukatumia usd billion 40 kwenda kuzunguka mwezini. Wakati Binadamu wenzako wanashinda na kufa kwa njaa. Hii siyo sawa kabisa.
Namsifu sana waziri mkuu wa Uhispania ambaye anachukizwa na mambo kama haya ya kutumia pesa na rasilimali hovyo hovyo ambapo wangeeleza hizo rasilimali kuinua na kuboresha ubinadamu.
Mijitu yenyewe haimini Mungu. Mungu kawapa maarifa kiduchu tu wanajiona kila kitu. Basi kama wao ni genius wazuie kifo na uzee.
Ukichunguza hilo lichombo limetengenezwa na madini adimu kutoka nchi maskini wanaodhulumiwa rasilimali zao.
Hiyo mishen kesho isifanikiwe tu hao wanaanga wapewe majukumu mengine. Hakuna jipya wanaenda kugundua ama kuvumbua.
Senior JF human rights activists and philanthropist