NASA ARTEMIS: Marekani kurudi tena mwezini

NASA ARTEMIS: Marekani kurudi tena mwezini

hakuna dini hapo wewe jifunze kushughulisha ubongo wako. umeshupalia sentensi moja tu...hizo operation za exploration antactica zina udini gani? Kuhamisha NAZI rocket scientists kuna udini gani?
Hamna lolote hapo ni fix zenu tu hizo. Mambo ya Nasa ni pure science and not fiction.
 
Labda hii mission itawajibu wale wanaopinga kwamba hakuna mwanadamu aliyeweza kukanyaga juu ya uso wa mwezi...
Kuna post nimeiweka nataka tuijadili kuhusu wamarekani kutua kwenye mwezi
 
mwezi ni gaseous plasma, is non landable. Hakuna binadamu aliwahi kutua mwezini na haitatokea atue mwezini. Kama mtu bado unaamini eti wamarekani walitua mwezini, wewe ni mgonjwa wa akili na elimu uliyonayo haijakusaidia chochote. Ushahidi upo wazi hata kwa kugoogle tu utaupata.

moon landing was just a movie in a theater, Albert Brocoli alijaribu kuwaonyesha wanadamu kuwa moon landing was feki alipotengeneza james bond movie akaiiita Diamonds are forever (1971) mwanzoni mwa movie. Mazingira ya mwanzoni kabisa, he sent a message.

NASA is an instrument used to inflict fear and control the civilization.
Nimeomba watu wenye interest na hii topic tuangalie ile debunking niliypoiposti kwenye uzi wangu leo
 
Mpango wa anga za mbali maalum kwa ajili ya uchunguzi wa mwezi ujulikanao kama Artemis upo mbioni kukamilika.

Mpango huu unahusisha ushirikiano na mataifa mbalimbali ikiwemo EU,Canada huku Africa tukiwakilishwa na Afrika kusini. Pia unahusisha mashirika na makampuni binafsi kama space X,Air bus na kampuni nyinginezo.

Tarehe 29 mwezi huu (siku ya jumatatu) chombo kitachobeba wanaanga kiitwacho SLS (kwenda mwezini) kitafanyiwa majaribio.

SLS ndo roketi yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa na NASA.

Tizama hapa chini kuelewa zaidi kuhusu program hii



Mission ya kurudi tena mwezini inatarajia kufanyika mwaka 2024.View attachment 2333404


HATIMAE Leo 16/11/2022. SLS imefanikiwa kuruka


Injini zenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa ndio kwanza zinafanyiwa majaribio.Haya hizo zilizopeleka wanaanga mwezini zamani zilitokea wapi
Hii maana yake ni kusema ndio kwanza wanahangaika kupeleka mtu mwezini kama itawezekana.
 
Back
Top Bottom