Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Hilo ni fisi lilibahatika kuolewa.
Binti kaolewa wik mbil zilizopita.na anaweka kabisa status picha za harus,mumewe n.k

Ila huwez amin ninachochat nae hapa sasa hiv,na si ajab weekend hii nikaenda mla,..

Aibu naona mim.

Binti huyu aliwai kua dem wangu kitambo sana.daaah...kikombe hik kiniepuke ,skuhiz nmekua mwoga sana na wake za watu,kuna ki guilty flan hiv.namwonea mwana huruma kinoma yan

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti kaolewa wik mbil zilizopita.na anaweka kabisa status picha za harus,mumewe n.k

Ila huwez amin ninachochat nae hapa sasa hiv,na si ajab weekend hii nikaenda mla,..

Aibu naona mim.

Binti huyu aliwai kua dem wangu kitambo sana.daaah...kikombe hik kiniepuke ,skuhiz nmekua mwoga sana na wake za watu,kuna ki guilty flan hiv.namwonea mwana huruma kinoma yan

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri Katika mulo wako mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena hao ndo wazur sabab hufanya cheatn kwa umakin wa hal ya juu,wanawake hawana akil mjomba.akishakuchoka tuu huwez mzuia.hata ukimtishia kisu leo,atakaa mwez ataenda tuu mwenyew,trust me,mi ndomana nimesema kikombe hik nikiepuke.sabab wanawake ni washenz mjomba huwez amin.sanasana kama anafanya kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
wengi wanaolewa na watu ambao hawakuwa dream yao,muda wa jioni ukifika anaolewa tu na atakayejitokeza madhara yake ndo haya,kamwe sitokuja kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hatari ni yule asiye na bikra.
Kile kitendo cha kutokuwa na bikra na bado akawa Comfortable huo ndio uhatari wenyewe.

Nashangaa hata hao wanaooa wanawake wasio na bikra huo wanafikiria nini.

Ni sawa ukute soda imefunguliwa kisoda/kizibo alafu ujisikie amani kuinunua na kuinywa hiyo soda.

Vijana, Oeni Mwanamke mwenye bikra. Msiponisikia sasa hivi. Tukutane miaka kumi ijayo.
 
Sio kwamba wewe ndio shetani kaamua kukutumia kama wakala wake ili umuharibie ndoa then unamlaumu yeye? Kama kweli unamheshimu na kumpenda acha kuwasiliana nae uone.
Huyu mwanamke pia aloshajikabidhi kwa shetani tangu alipomwaga damu ya bikira yake. Mume wake sahihi ni yule aliyemtoa bikira, wengine ni wapitaji tu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mwanamke hatari ni yule asiye na bikra.
Kile kitendo cha kutokuwa na bikra na bado akawa Comfortable huo ndio uhatari wenyewe.

Nashangaa hata hao wanaooa wanawake wasio na bikra huo wanafikiria nini.

Ni sawa ukute soda imefunguliwa kisoda/kizibo alafu ujisikie amani kuinunua na kuinywa hiyo soda.

Vijana, Oeni Mwanamke mwenye bikra. Msiponisikia sasa hivi. Tukutane miaka kumi ijayo.
We naee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni mbinafsi sanaaa,mambo ya kuhudumia wakwe na mashemeji siwezi,kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra siwezi,ndoa ni mzigo kwa mwanaume ila ni mteremko kwa mwanamke ndo maana kila mwanamke analilia ndoa, mwanamke umlishe,umtunze,akiumwa umlipie matibabu,mama ake na baba ake wakiumwa ulipe hela ya matibabu,hapo hapo umpende,umjali,umpe muda wako,yeye anakupa pussy tu,tena pussy yenyewe hakupi kama unavyotaka, excuses kibao,mara anaumwa mara hajisikii,mara amechoka,ila mwanaume inabidi umuhudumie kila kitu bila excuses zozote.hapo bado hajachepuka,bado hajakuletea watoto wa nje,kwanini nihangaike na haya yote kisa pussy??

sijaoa na sitooa, nimeshazalisha watatu tayari,mwakani nazalisha mwingine,ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila zama na mambo yake....ndio maana waswahili wanasema usiape kitu chochote ukiwa bado unaishi.
Wakati wako haujafika na ukifika usiache kutuambia mkuu.
 
dah kiukweli ninakaa nae wangu huu mwaka wa 5 but sijawahi kumgusa hata konzi inshort yeye na familia yao wananiona ni mtu mpole kupita maelezo hut kuna siku nlimwambia mke wngu fanya mambo yote isipokuwa moja tu kunicheat maana ntakachomfanya huyo aliyekufanya ucheat hatosahau maisha yake yote na ntakachokufanya na wewe ntaandikwa kwenye historia kwenye kitabu cha taifa na bahat nzuri amekiona alichofanya mtoto wa mjomba wang kabisaa (kaka) kwa kumchoma mke na magunia ya mkaa,maana ile sku bro alivyokamatwa na kukiri wife usiku alinifata akiwa mpole mno na kuniuliza hivi na wewe unaweza kufnya kama alivyofanya nduguye jibu nlilompa mpka leo anaogopa hata kusalimiana na mazoea na watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu wana tabia ya kusahau
 
Hilo ni fisi lilibahatika kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilikua sehemu nimekaa wakaja mabinti watatu nao wakakaa, wakaagiza vinywaji huku wakipiga story za ajabuajabu zilizonishtua sana...
Kwenye story zao mmoja alisema yule mwanaume simpendi sababu hana swaga ila ndie mwanaume pekee anayetaka kunioa...
Mwenzie akadakia mimi nikipata mwanaume wa kunioa hata kama sijampenda nakubali halafu kwa mambo mengine ntendelea kuchepuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom