Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Kama unamuonea huruma mwenye mke mbona hukati mawasiliano, kama unaendelea hivo amini nawe ukioa kikombe hiki hakitakuepuka, nadhani busara ni pale unapojua unakosea ukaacha mara1 na sio hadi kupost tena ukijimwambafai kua utamla
 
Daaa kazi ipo
Kuna siku nilikua sehemu nimekaa wakaja mabinti watatu nao wakakaa, wakaagiza vinywaji huku wakipiga story za ajabuajabu zilizonishtua sana...
Kwenye story zao mmoja alisema yule mwanaume simpendi sababu hana swaga ila ndie mwanaume pekee anayetaka kunioa...
Mwenzie akadakia mimi nikipata mwanaume wa kunioa hata kama sijampenda nakubali halafu kwa mambo mengine ntendelea kuchepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni mbinafsi sanaaa,mambo ya kuhudumia wakwe na mashemeji siwezi,kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra siwezi,ndoa ni mzigo kwa mwanaume ila ni mteremko kwa mwanamke ndo maana kila mwanamke analilia ndoa, mwanamke umlishe,umtunze,akiumwa umlipie matibabu,mama ake na baba ake wakiumwa ulipe hela ya matibabu,hapo hapo umpende,umjali,umpe muda wako,yeye anakupa pussy tu,tena pussy yenyewe hakupi kama unavyotaka, excuses kibao,mara anaumwa mara hajisikii,mara amechoka,ila mwanaume inabidi umuhudumie kila kitu bila excuses zozote.hapo bado hajachepuka,bado hajakuletea watoto wa nje,kwanini nihangaike na haya yote kisa pussy??

sijaoa na sitooa, nimeshazalisha watatu tayari,mwakani nazalisha mwingine,ova!

Sent using Jamii Forums mobile app

Una maanisha wanawake wanatoka familia duni sana kiasi cha kukutegemea wewe muoaji ndio usaidie mke wako na familia yao?!!!!
What if wewe unayeoa ni kabwela, kapuku, mnuka shombo?
 
Umeongea kwa uchungu sana
 
Binti kaolewa wik mbil zilizopita.na anaweka kabisa status picha za harus,mumewe n.k

Ila huwez amin ninachochat nae hapa sasa hiv,na si ajab weekend hii nikaenda mla,..

Aibu naona mim.

Binti huyu aliwai kua dem wangu kitambo sana.daaah...kikombe hik kiniepuke ,skuhiz nmekua mwoga sana na wake za watu,kuna ki guilty flan hiv.namwonea mwana huruma kinoma yan

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha huo mchezo, ipo siku utakuwa unachati na mume wake utaumia zaidi.

Narudia tena ACHA KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maanisha wanawake wanatoka familia duni sana kiasi cha kukutegemea wewe muoaji ndio usaidie mke wako na familia yao?!!!!
What if wewe unayeoa ni kabwela, kapuku, mnuka shombo?
mimi sio kabwela wala mnuka shombo,on top of that hata kama mwanamke ana mshahara mkubwa kukuzidi wewe still inabidi umuhudumie kwa huo huo mshahara wako mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikua sehemu nimekaa wakaja mabinti watatu nao wakakaa, wakaagiza vinywaji huku wakipiga story za ajabuajabu zilizonishtua sana...
Kwenye story zao mmoja alisema yule mwanaume simpendi sababu hana swaga ila ndie mwanaume pekee anayetaka kunioa...
Mwenzie akadakia mimi nikipata mwanaume wa kunioa hata kama sijampenda nakubali halafu kwa mambo mengine ntendelea kuchepuka
nilashasema sioi na wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio dream yao muda wa jioni ukifika,so anaolewa tu kutoa gundu ila mawazo yapo kwa boyfriend wake wa secondary,hapo ataanza kumpikia chakula mchepuko na anamtuma mtoto wako akampelekee mchepuko chakula ambacho ni jasho lako wewe na anaweza akazaa kabisa na huyo mchepuko wake mtoto ukasingiziwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hatari ni yule asiye na bikra.
Kile kitendo cha kutokuwa na bikra na bado akawa Comfortable huo ndio uhatari wenyewe.

Nashangaa hata hao wanaooa wanawake wasio na bikra huo wanafikiria nini.

Ni sawa ukute soda imefunguliwa kisoda/kizibo alafu ujisikie amani kuinunua na kuinywa hiyo soda.

Vijana, Oeni Mwanamke mwenye bikra. Msiponisikia sasa hivi. Tukutane miaka kumi ijayo.
unakuta mtu anatoa na mahari kabisa kwa demu asiye bikra,anafunga na harusi kabisa[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao unaowazalisha ulikuta wako bikra ?. au hesabu zako wee kuhudumia ?? Maana kama ni papuchi hujakuta bikra nabado ukaenda pekupeku...

Sijaona mantiki ya Kuzaa zaaa ovyoovyo ...

Na inshu kama ni Bikra, mbona wapo wengi sana ????.

Mimi nadhani, siku utakayofanikiwa Maisha, ndio siku utakayoamua Kukaa nakuoa mwanamke wako wako pekeako akuzalie n.k

Haya mengine ya kuzaaa zaaa, NI nadhan NI sababu waafrika hususani masikin starehe Yake kubwa ni ngono, na matokeo ya ngono huwa ni mimba zisizotarajiwa n.k.

Hata ivo, hii piga piga mwisho wasiku utaishia kupata moja LA hili

Ugonjwa

Au

Umasikin

Sent using Jamii Forums mobile app
first of all mimi sio masikini,starehe kubwa ya matajiri ni nini?? usiforce tufanane mzee, sioi na sitokuja kuoa,mimi sio mtu wa kwanza kutooa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom