Narudi kijijini kutafuta mke

Narudi kijijini kutafuta mke

Bora ukomae na vicheche wwa mjini.
Hao mangumbaru wa kwenu wakijanjaruka utalia.
 
I said off I am man......was just having my last blast looh

There's no way you gonna catch me hahahahahahahhaaaaaaaa

Don't quote me......
Endelea na search yako
Napita tuu na sirudi tena hapa

Again don't quote me

Hahahahahahahahahahahahaaaa

Msalimie sana nanii...mwambie anasalimiwa na Ngabu😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
ngabu on fleek you are amongest of my role models in jf much appreciation.cc usa baby
 
Vacancies are still aplenty!

Haya hebu toa maksi kwa Kashinje.....hapo vepee?

View attachment 366763
Nyani Ngabu usin'tanie! Kama hao kweli wapo kijijini?! I am seriously asking manake nina miaka zaidi ya 20 cjakanyaga kijiji chochote kile! Hofu yangu usije ukauziwa mbuzi kwenye kiroba! Ushapiga mbiu ya mgambo hapa, usije ukakutana na mademu wa Jey Efu huko halafu ukajidanganya umeopoa kitu natural kutoka kijijini!
 
Good luck and all the best on your good intentions.. Lakini wa kijijini hmmmmm! usije kuboreka tu ndani ya miezi michache ukaanza kulalama kwamba katika hii dept inaitwa marriage huna bahati.
 
Ikulyabashashi pamebadilika sana naona,zamani hapo,utaona nyumba moja hapa,nyingine kuleee,hata ukipiga yowe hakuna mtu atawahi kukusaidia,
 
Mlete town waje wakusaidie mjini kiongozi.
 
Mkuu hata huku Daslam si wapo kina Mwallu na Masunga na wenzake?

Hao walozaliwa Ocean Road na Mwananyamala? Hata ng'wanene hawajui!

Hao ni unkula huu na hasara juu!

Au unamtaka aliyelelewa kijijini akiona gari anakimbia? Akiona mtu kwenye TV anamwamkia? Viatu anaweka kwenye fridge?

Kwani Ikungu hakuna magari mzee? Ikungu hakuna TV? Ikungu hakuna viatu vya kokoko?

Hahahaaaaa ungesutwa Kisukuma leo wewe....bahati yako uko mbali tu.

Nini hasa lengo lako la kumwacha Dotto Mayala hapa Daslam uende kuchagulaga kwa kina Nyanzala, Mabula, Jishuli????

Maadili mema.

Au ndo nyani mzee.tricks za mjini zimekushinda!???

Never ever...the legendary Nyani Ngabu aka the Blue Collar Baller aka The Workshop Warrior aka Mr. Enigma aka the Renaissance Man aka Mr. Panty Melter aka Simply Irresistible aka The Professor's Son aka Mr. International aka Mr. Captain-Save-Em.......got a few tricks up his sleeve man. He is always ahead of the curve.

She said "Hola, Cómo estás?"
She said "Konnichiwa"
She said "Pardon my French"
I said "Bonjour Madame"
Then she said "Sak pase"
And I said "N'ap boule"

No matter where I go, you know I love 'em all.

Au hekaya za mungu wa kabili zimekuogofya? Why brother...???

Hahaaaa nah ma man.

It's just me being me. Sometimes I like to be facetious.

So ain't nothing serious like that.
 
Back
Top Bottom