Dada angu pole Kwa kinachokusumbua. Jambo hili limekuwa common Sana Kwa wanawake ambao wenye fikra kama zako . Wengi huona umri unaenda na huchoka kuvumilia na kinachotokea ni kujirahisi Kwa mtu yeyote ambae hata hamjui. tatizo ndpo linapoanzia kila kitu hubadilika na kujikuta hata mwenendo wa maisha hubadilika pia. Malaz huchukua nafas yake, mbaya Sana kukata tamaa cha kufanya hapo usikate tamaa, na maamuzi yeyote unapotaka kuyachukua fikiria faida na hasara. Kinachokutesa wewe saiv ni hofu ya kuwa na umri mkubwa bila ya kuwa na mme,bila ya kuwa na mtoto .jaribu kuishinda hyo hofu. Ucijar kuwa na umri mkubwa pasipo kuwa na mtoto/watoto.amini kuwa mda bado na jione kama ndo Kwanza una miaka 22. Uciruhusu hofu hyo ikatawala nafsi yako itakufanya ikosee mwishoni wakat karbu unashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmm! 32 kweli bikira ipo hukucheza rede au kuruka kamba maana zingine zinatoweka kwa mazoezi 😀😀😀mwanaume utakayempata atapata tabu sanaa!
