Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,405
- 104,817
Na Hii ndo inamtesa sana.Angejua wapo wa miaka 40,Na Bado waa matumaini Na Raha tele asingeteseka.Na siku akiacha kuyawaza Haya Na kuendelea Na maisha yake ndo siku atakayopata mahitaji yote.Kikubwa ni kuomba Bila kuchoka.Mume atatokea Automatically tha is Law of Nature.(Wengi hawajui hili)Pole m-dada....
Kwangu kwa umri uliotaja bado mbona u-mdogo. Tamaa uliyokata ni kubwa saana kuliko umri. Vuta pumzi kuna wenzako wanaolewa kwenye 35 na wanazaa kwenye huo umri.
Kwa upande wa pili.
Unataka mwanaume je unajiweka kimtego mtego au bado unabehave kama mwanafunzi wa sekondari asiyehitaji mazoea anatunza bikra yake??
Wanaume tunachukia over protective women.. Siku hizi ni wanaume wachache wanaopoteza muda wao kuzungushana na wanawake wanaowapush.
nitakushauri haya.
1. Kuwa mwanamke, pendeza, ishi kwa tabasamu, watege wanaume bila kuwaonyesha unawatega.
2.Najua sio wote mmepewa sura na maumbo lakini wanawake wangapi wasio na sura na maumbo mazuri wameolewa? Mwanamke kauli, pendeza na uvutie.
3. Toa stress za kudhani ushapitwa. Hili linakutesa akilini. Sahau You are still young.
ni stress za agemates wake akiwaona wameshaolewa basi anahisi kachelewa kwelikweliHuu uzi ukiupitia kuna baadhi ya koment zinaflaisha sana
Ila kiukwer miaka 32 bado mdogo sana
Binafsi nina dada angu yeye kaolewa ana miaka 39 kwa muda wote huo alikuwa nyumban
Na mtt kapatia huo umri nw day ana watoto wawil na wanapendana sana na mume wake na wanamaisha mazur tuu
Mi huwa naamin kira jambo na wakat wake kikubwa kusari sana na kuwa na iman kwa icho ukifanyacho
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😳😳😳

. Anyway,ndugu yangu janga la kuchelewa sio lako peke yako yaaani wasichana nnaowajua mm wenye huo mtihani kama wako ni wengi mno wengine ni mabest zangu, wengine hadi wameshawaza kama ww, sitaki kusema cjui kuwa mvumilivu cjui acha haraka, kwa kweli kwa mwanamke ukishaanza kuvuka 28 its not easy anymore, na u desperate unakuingia haswaaa hata ukijipa moyo stil kuna taa nyekundu utakuwa unaiona. Ila ndugu yangu sikushauri kuzaa tena na mume wa mtu hapana, na umesema unasali sana ila ulishataka kujaribu kwa mume wa mtu, hebu omba toba kwa hilo. Na pili hebu jaribu kuvulia mpaka 35 kuna wadada kama watatu hv nimeshuhudia wakiolewa in their 38-40. Vumilia japo kuvumilia si jambo rahisi kama kulitamka. Me mwenyewe nilipofikisha 28 nikaanza mmh ila nashukuru Mungu ndipo akanikutanisha na husband wanguEbu fanya haraka tena harakisha.Sijawahi....ngoja nianzie kwako![]()
Sio fursa mkuu, hapa naona kabisa tayari kajielekeza kibla....😳😳😳😳😳
salute mkuu fursa kiganjani au sio
Pole m-dada....
Kwangu kwa umri uliotaja bado mbona u-mdogo. Tamaa uliyokata ni kubwa saana kuliko umri. Vuta pumzi kuna wenzako wanaolewa kwenye 35 na wanazaa kwenye huo umri.
Kwa upande wa pili.
Unataka mwanaume je unajiweka kimtego mtego au bado unabehave kama mwanafunzi wa sekondari asiyehitaji mazoea anatunza bikra yake??
Wanaume tunachukia over protective women.. Siku hizi ni wanaume wachache wanaopoteza muda wao kuzungushana na wanawake wanaowapush.
nitakushauri haya.
1. Kuwa mwanamke, pendeza, ishi kwa tabasamu, watege wanaume bila kuwaonyesha unawatega.
2.Najua sio wote mmepewa sura na maumbo lakini wanawake wangapi wasio na sura na maumbo mazuri wameolewa? Mwanamke kauli, pendeza na uvutie.
3. Toa stress za kudhani ushapitwa. Hili linakutesa akilini. Sahau You are still young.
nakusalimu
😀😀😀😀😀 hiyo pm uliyomtumia najua ina sifa zote na itashinda miongoni mwa pm lukuki atakazopata
😀😀😀😀😀 hiyo pm uliyomtumia najua ina sifa zote na itashinda miongoni mwa pm lukuki atakazopata
Hiyo ndo shida ya kujifananisha na watu.ni stress za agemates wake akiwaona wameshaolewa basi anahisi kachelewa kwelikweli
Hilo la kutunza mwanamme nyumbani kwangu sitafanya. Mtoto nitalea ila kutunza mtu mzima ni kazi kubwa. Kama ni msaada tutasaidiana.Et usubiri hadi 40 ndo uende leba ha ha haaa ushauri wangu sio lazima upate unaemtaka ingekua hivyo maisha yangekua mepesi kwa kila mtu
NAKUSHAURI
tafuta mwanaume asie jiweza umuweke ndani muishi wote akuzalishe tu
Usishangae kiasi hicho tafadhali.
kabisa ni ugonjwa mbaya sana kujilinganisha. watu hatufanani kila mtu ana namna yakeHiyo ndo shida ya kujifananisha na watu.
Kila mtu ana wakati wake katika haya maisha.