Hatari sana!!Wameokoka wanaogopa kutoa wamezoea vya kukuta njia ishatengenezwa. Kwa hiyo hawapo kabisa wapo tu hapa wanasoma na kutoa michango. Wanaume nao si wanaakili nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana!!Wameokoka wanaogopa kutoa wamezoea vya kukuta njia ishatengenezwa. Kwa hiyo hawapo kabisa wapo tu hapa wanasoma na kutoa michango. Wanaume nao si wanaakili nyingi.
Asante mkuu
Unamsingizia mkuu mbona anajibu PM tena kistaarabu kabisa...Nimeingia Sana pm Hanna majib, ngoja niache labda kaamua hivyo
Ukienda holiday ndio utakua umeolewa au umepata mtoto? Mwenzio anatakabmme au mtoto wewe unamwambia maswala ya holidays unadhani yeye hajui kama zipo.Cheii hivi mtu anaweza kuwa desperate na ndoa kiasi hichi! Piga Kazi Fanya serving za kutosha Nenda holiday kila mahali upunguze icho Kichaa life begin -----40 ukooooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kutoa bikra sio mchezo wengi hawataki hizo karahaWameokoka wanaogopa kutoa wamezoea vya kukuta njia ishatengenezwa. Kwa hiyo hawapo kabisa wapo tu hapa wanasoma na kutoa michango. Wanaume nao si wanaakili nyingi.
Hili jibu nimecheka sanaa, ni kweli watoe wao waache, afu kwenye kuoa wanataka zingineKwani tunazitoa kwa kula ugali? Nani anazitoa? Hao mlowatoa mliwaoa?
We jamaa kama shetani, unaotea palipo na malengo na matendo ya watuNaona wameshahamishia majeshi pm
Daaada! sister! KhaaaCheii hivi mtu anaweza kuwa desperate na ndoa kiasi hichi! Piga Kazi Fanya serving za kutosha Nenda holiday kila mahali upunguze icho Kichaa life begin -----40 ukooooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma huko lakini sikuwahi kuwaza hata siku moja. Napenda maisha ya familia kwa hiyo utawa haukuwa moyoni.Inawezekana una nyota ya kuwa "Sister" sister wa kanisa katoliki. Ulisoma shule gani? au maybe ulianza kufata malezi ya usister ukaishia njiani? Nasikia kama ulipitia kkt malezi hayo na ukaondoka kwa kiburi na dharau maisha yako hayatakuwa ktk mstari. Lakini hayo mm nawaza tuu but hakuna linaloshindikan kwa Mungu. Wewe subiri wakati wa Bwana ufike
kweli kabisaShikilia imani yako. Usipelekeshwe na walimwengu. Kila unayemuona anapambana na matatizo yake. Kinachotutofautisha ni uwezo wa kustahimili wa shida zetu.