Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Kweeli, imebidi niangalie GPS nipo TZ ama Uingereza ...vijana wa Daah! Wanaachaje such an opportunityHata wameokoka sasa hivi. Hawataki watoto wa nje eti.
Sent using Jamii Forums mobile app

Wanatunza ndoa best hawataki kuchanganya kama pilau. Wamestaarabika kinyama wangu.Kweeli, imebidi niangalie GPS nipo TZ ama Uingereza ...vijana wa Daah! Wanaachaje such an opportunity
Sent using Jamii Forums mobile app
Naipenda hii quoteNdio maana leo nimeona niseme labda naweza punguza mzigo.
Ulivoeleza inaonekana ni kweli unahitaji zaidi ya kila kitu! Mi nakushauri ungepanua wigo kwa kuondoa kipengele cha dini,Nashukuru kwa ushauri kaka angu. Wanadamu wanaweza kukupa jakamoyo. Na wazazi wangu japo hawajawahi niuliza direct lakini wanavyozungumuza mimi ni mtu mzima nawaelewa. Inafika sehemu nashidwa kabia. Na tatizo kubwa nililonalo ni kutojihusisha na mapenzi directly kitu ambacho wanaume wengi nashidwana nao hapo.
Sasa ka akitokea ndo usi enjoy uje everything happens for a certain reason. Ukijua hilo wala hupati stressNi kweli lakini ni probability halafu inategemea na mahitaji yake, kama menopause itakuwa ni 45 halafu ana nia ya kuzaa 4 keshafeli
Hujachelewa hembu njoo PM tunaweza kuelewana,ni wakati sasa sitakuwa tayari uendelee kuyapitia magumu ikiwa me nipo hai.Habari za jumapili wana jamii.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 kwa sasa. Napitia katika changamoto kubwa sana.
Hapo mwanzo kipindi ninasoma niliona si vyema kujiingiza katika mahusiano ya kufanya mapenzi kwani niliona yatanivuruga na ningejikuta napitia katika mahusiano mengi kitu ambacho sijawahi kukipanga maishani.
Nikamaliza chuo vizuri namshukuru Mungu.katika kutafuta ilikuwa ngumu kidogo nilitafuta mpaka nikakata tamaa nikaomba Mungu mpaka nikaona inatosha. Katikati ya kukata tamaa nikamuomba Mungu basi anipe kitu kimoja kwanza mme au kazi. Ila la kazi ndio nililoliwekea msisitizo kwani kwa kipindi hicho familia yangu ilikuwa inapitia changamoto nyingi kwa hiyo nikaona kazi itanisaidia kupunguza changamoto ama la basi niolewe ili nipunguze mzigo kwa familia yangu.
Siku isiyotarajiwa nikaitwa interview na nikapata kazi nzuri ambayo sikuwahi hata kufikiria wala kuiwaza.
Nikashukuru Mungu na kuanza maisha mapya ya kazi na kusaidia familia yangu. Nikajikita kwenye kumuomba Mungu anijalie mme mwema atakayenifaa na kuongoza familia tutakayoipata katika misingi ya imani ta dini ya kikristo. Sikubagua kabila wala atakuwa mkirsto wa aina gani maadamu awe anaabudu jumapili maana mimi nilikuwa tiari kuhama katoliki ili tulee familia yetu tukiwa na muongozo wa dini moja.
Sikuwahi kudhani nitafikia huku maana mpaka sasa imekuwa ngumu kama ni Mungu hachelewi ama hawahi basi kwangu mimi kwa sasa imekuwa ni shida kubwa. Nimefunga novena nimesali sana mpaka naona nimeanza kuathilika nahili swala. Mwaka jana tarehe moja nikaona basi kama mme wangu hayupo nipate tu mwanamme nitakae zaa nae lakini awe mkirsto maana siko tiari kumtenga baba na mtoto wake hata kama hamhudumii, nikiamini kuwa uwezo wa kulea mwenyewe ninao hata kama watoto watakuwa zaidi ya mmoja niko tiari kupambana na maisha. Nikaona kwa sababu nitakuwa pekeangu nikaanza kuwekeza ili watoto wangu wanikute nimejiandaa. Na penyewe Mungu akaona wakati wangu bado.
Mwaka huu mwezi wa pili akatokea mme wa mtu kitu ambacho sijawahi hata fikiria kuwa kunasiku nitaangukia huko, Mwanzoni nilitaka tuzungumze mapema kabla hatujazoena sana matakwa yangu lakini akawa mtu wa kuona nampangia sheria mapema na kudai hizo mipango ninazotaka kupanga nae tukiwa hatujafika mbali ni mipango gani. Nikaona isiwe tabu.
Ikafika siku ya kukutana nikamwambia mimi sijawahi kabisa hakuamini na nikamwambia kama anajiamini aendelee ila ajue atakuwa na deni la kulipa, akatafakari akaona viatu ni vikubwa akaondoka.
Chenga zikaongezeka nikajiuliza ni nini shida, tukapanga tukutane ili tuone hatima ni nini kati yetu. Akaja na kudai yeye hayuko tiari kutoa bikira ya mtu asiye na mpango nae. nikamuelewa na nikaona yuko sahihi.Nikamuuliza wewe ulivyoanza ulitegemea mimi ni mti sina hisia za kufanya mapenzi akadai alijua anajihusisha na mapenzi ya kila mtu ana mtu wake hivyo wanakutana kulizishana tu. Akaniambia nahitaji nini hasa kwake nikamwambia kama ulishaona hisia zangu unadhani nahitaji nini? Niliona nisianze kutaja shida niliyonayo kwanza nimsikilize yeye ndio na mimi niseme ya kwangu. Yeye akadai aliona ni mahusiano ya kula na kuondoka. Akaniambia kama niko tiari ataweka sheria za kutuongoza za maandishi ili baadae tusijekupeana shida. Nikamwambia sheria zako utazoniwekea nitazifuata vilivyo japo najijua ninawivu lakini wewe ni mme wa mtu tiari nitavumilia. Akaja na sheria na mipango mingi sana asee.sheria nyingi nilivyotafakari nikaona nyingi zinamlenga mtoto ambaye mimi ndio ninayemhitaji zaidi. na yeye akaona labda ni mmoja tu wakati mimi nishajipangia wakunitosha kabisa. Kwa maelezo yake nikaona hayuko tiari kuwa na mtoto nje ya familia na nikitokea kumpata basi nitoe mimba ama atamchukua. Nilichoka viungo vyote. Akaniuliza unalolote nikamwambia nizungumze nini wakati sheria zimekuwa ngumu.
Haki ya Mungu yaani natamani siku zirudi nyuma nizunguke na wanaume kama wafanyavyo wengine. Hukukujitunza kwangu kunanifanya nilie kila siku na kuomba Mungu usiku kucha kisa nilimtunzia mtu bikira. Jamii inayonizunguka itanitia wazimu maana swali la unaolewa lini limenichosha kabisa. Basi kama siolewi hata mtoto tu ni shida kumpata.
Kwasasa ninashida na mtoto kuliko maelezo na niendako nadhani nitawehuka. Msaada wenu tafadhalini sana.
NB. Hapo mwanzo nilifunga novena kwa muda wa mwaka mmoja na kuomba na kukabidhi mwili wangu uwe kwa ajili ya mtu mmoja tu ambaye ndio atakayekuwa mme au baba wa watoto wangu. Ndio maana inaniwia vigumu kuingia mahusiano mbalimbali.
hebu Muombe Mungu tena na tena na usikate tamaa achana na novena piga magoti muombe Mungu bila novena hiyo utaniambia mimi Mungu hajawahi kuniangusha.Mungu ni mwema sanaHabari za jumapili wana jamii.

Yaani acha tu. Kuna dada nae alipitia wakati mgumu kama mtoa mada mwisho akapata mume, ila hiyo ndoa alijuta angejua hata asingeolewa. Mwisho wa siku aliamua mwenyewe kuondoka bila kufukuzwa na hataki tena kusikia kitu inaitwa kuolewa.Life can be very unfair sometimes
Mambo ya Mungu mda mwingine dahh
Kweli kuzungumza kunasaidia kwa kiasi fulani.Ndio maana leo nimeona niseme labda naweza punguza mzigo.
Kuna watu mna rohoo ngumu,zaidi ya jiwe alafu kila siku mnaponda jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona! Hapa ni Changa la machoHii post hii post!!
Stress ziko pale pale mkuu unless mawazo yako yatimie kama ulivyokusudia awali kinyume na hapo umetengeneza hisia ili kuendana na mazingira yanayokuandama!Sasa ka akitokea ndo usi enjoy uje everything happens for a certain reason. Ukijua hilo wala hupati stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Daby, sikutegemea kama uko vizuri eneo hili. Nahitaji na mimi unifunde (japo sitafuti)Pole m-dada....
Kwangu kwa umri uliotaja bado mbona u-mdogo. Tamaa uliyokata ni kubwa saana kuliko umri. Vuta pumzi kuna wenzako wanaolewa kwenye 35 na wanazaa kwenye huo umri.
Kwa upande wa pili.
Unataka mwanaume je unajiweka kimtego mtego au bado unabehave kama mwanafunzi wa sekondari asiyehitaji mazoea anatunza bikra yake??
Wanaume tunachukia over protective women.. Siku hizi ni wanaume wachache wanaopoteza muda wao kuzungushana na wanawake wanaowapush.
nitakushauri haya.
1. Kuwa mwanamke, pendeza, ishi kwa tabasamu, watege wanaume bila kuwaonyesha unawatega.
2.Najua sio wote mmepewa sura na maumbo lakini wanawake wangapi wasio na sura na maumbo mazuri wameolewa? Mwanamke kauli, pendeza na uvutie.
3. Toa stress za kudhani ushapitwa. Hili linakutesa akilini. Sahau You are still young.
Kwa Lugha nyepesi unaniita mfundaji... ?Daby, sikutegemea kama uko vizuri eneo hili. Nahitaji na mimi unifunde (japo sitafuti)
Sent using Jamii Forums mobile app