Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Hu
Povu lote Hili la Nini! Kila mtu sio mlisema apewe haki ya Uhuru wa kujieleza! Sasa Uhuru si ndio huu, au mie sijui maana yake!? Ninyi mnaojiita wapinzani ni wanafiki kuliko maelezo, na Kama mngepewa mamlaka naona hakuna ambaye angeruhusiwa kufanya myafanyayo! Aibu yenu!
Hujui........Ahaaa! Mbona hapo viongozi hao wa dini wapo kwenye vikao vya upinzani?.....sijui.......uzuri wa nchi yetu haina ubaguzi. 'KWANI KUNYA ANYE KUKU, AKINYA BATA.......'
Screenshot_20200724-175445.jpg
 
Wakikosoa serikali, wanaonjwa kuwa wasichanganye dini na siasa, na kwamba waambiwa wachague moja aidha wafanye dini au wawe wanasiasa, ila wakisia na wao wenyewe wanaalikwa wanakuja haionekani kabisa kama wanafanya siasa
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

Mbona maaskofu wakikemea unakuwaga wa kwanza kuanzisha uzi humu kusifia.

Unataka mambo yanayokufurahisha tu ndo yatendeke. Tengeneza dunia yako!
Kukemea na kufundisha ni kazi ya kiongozi wa dini siyo kusifia.
Wewe huna dini ndiyo maana huzijui kazi za viongozi wa dini
 
Naona zinatumika nguvu nyingi sana kupamba hii awamu,yaani utadhani nchi inapaa angani kwa mafanikio kumbe kawaida tu.Nchi bado ina changamoto kibao wanakosa muda na akili zakuisaidia serikali hili iendelee kupambana nazo wao wamekali kusifu nakupamba.
Mashehe wa bakwata wamo kwenye payroll ya serikali na ccm
 
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

Na wewe ita wale mnaowaita wanajitambua nao waseme vitu ambavyo havikufanyika kwani kosa liko wapi?
Kuna bagonza shoo niwemugizi na wengine na yule wa morogoro aliekosa uteuzi nao waseme mapungufu ya srikari hii.
 
umesikia hao wameitisha kongamano kuipongeza chadema ?
 
Back
Top Bottom