FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,066
- 40,725
Mm huwa nashindwa kuelewa, historia ya afrika huwa haimtaji Nyerere na haitambui mchango wake, ila sis wa Tz ndio tumefundishwa mchango wake kwenye Histora tunayofundishwa darasani
Inawezekana sisi ndo tumedanganywa..
Mambo ya ajabu kabisa, kwani lazima tuwapigie magoti na kulambana miguu kama mbwa? Kasema nani??!Mtawalamba miguu mabeberu mpaka lini?ukiwa na misimimamo unaonekana mjeuri,kibri na mabifu sio?
Nasikia kweli tulikuwa tunawapikia ugali kule morogoro, wanakula wanashiba na mapmbano tunaendelea nao bega kwa bega, leo wanajidai hawamjui Nyerere??!!si hilo tu huku Tanzania utakuta kuna barabara ya sam Nojuma sijui shule Mugabe sijui chuo cha Mandela sijui barabara ya Kwame Nkurumah sasa nenda huko walikosaidiwa kupata uhuru na Tanzania hata mtaa wa Kambarage hakuna 🤣 tatizo sisi kiherehere,kimbelembele chetu muda wa kuijenga nchi yetu eti tunawasaidia wasio na shukrani wapate uhuru na tulikuwa tunawasongea hata ugali washibe
Tatizo lenu hamsomi nenda UDSM kuna kumbukumbu za kutosha ili ujue ukweli ila kama unawaabudu sana wazungu utasema hivyo!Very likely
Maana wanatajwa akina Mandela, Nkurumah, Samara unaweza msikia hata Savimbi lakini sio Nyerere
Mambo ya ajabu sana, walau kwenye msiba wa Mandela Mh.JK alipopewa nafasi aliitumia vizuriVery likely
Maana wanatajwa akina Mandela, Nkurumah, Samara unaweza msikia hata Savimbi lakini sio Nyerere
Hivi fungafunga ya vyombo vya habari haitatuacha salama.Habari ni sawa na chakula mezani.
Mtazamaji/mskilizaji ataamua kuikubali au kuikataa na kukipongeza au kukidharau chanzo/chombo cha hiyo habari.
Kuwafungia hakutawazuia kuendelea kututangaza vibaya endapo wamedhamiria kufanya hivyo.
Pia nashauri TCRA waifungie TBC na Channel 10 kwa kuonyeha habari kwa upendeleoNimetoka kushuhudia ushenzi wa hali ya ya juu toka kwa hawa muda huu. Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi.
Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na kuishia hapo. Yaani Julius Kambarage Nyerere, pamoja na mchango wake mkubwa katika ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika, hajatajwa hata kwa bahati mbaya, hii maana yake nini??!
Wanasema ‘A TRUTH HALF TOLD IS A LIE’, kwa kukaa kimya ni kukubali matusi ya nguoni juu ya baba wa taifa letu. Ngoja nipunguze jazba kwanza..., daah!!!