Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

Goalkeeper
  • Husseni Abeli
Defenders
  • Kennedy Juma
  • Hussein Kazi
  • Israel Mwenda
  • David Kameta
Midfields
  • Abdallah Hamis
  • Edwin Balua
  • Ladark Chasambi
Attackers
  • Saleh Karabaka
  • John Bocco
  • Freddy Michael Kouablan
Pambana na kosi lako...
 
1 : Ayoub
2: mwenda
3: M.hussein
4: Inonga maestro bacca
5:elektriko fensi
6:ngoma 6: baubacar sarr
7:chasambi
9: jobe
10: chama
11: onana
 
Lakred
Kapombe
Shabalala
Inonga
Che Malone
Babacar
Ngoma
Kanoute
Kibu
Chama
Saido

Mfumo: 4-3-3

Kibu Kama false 9.....kipindi Cha pili unampunguza babacar anaingia Onana
 
1000017819.jpg
Mkuu nimekuvulia kofia kwenye Jukwaa la Michezo, katika kuzunguka mtandaoni nimekutana na kikosi chako JF wamekipost kwenye page zao.

Sasa nimeamini shani (tunu) yako.
 
Nimeskia jamaa wana mpango wa kushambulia kupitia upande wa kulia kwa kapombe,sasa jamaa inafaa ajipange kina mvua ya mawe inakuja
 
Baada ya kuifanyia promo Yanga kwa kuijadili kwa wiki kadhaa sasa! Ndiyo mnakumbuka kumbe na timu yenu ya papatu papatu nayo inacheza na Al Ahly!!

Aisee aliyewaita mbumbumbu aliwaza mbali sana. Hivi hata sijui mnacheza lini eti!!
 
Ni Tanzania pekee vijiwe karibia vyote ni simba/yanga 24/7 ,,, ! Mola tunusuru na hili ,,,,,

Pages za mamelod na Al ahly zimevamiwa na majuha, mashabiki maandazi ! Mara mfunge huyu,,,mara vile !
Ni ujuha wa kiwango cha lami ama wendawazimu !!!!

Kama taifa tunasafari ndefu sana !
 
Back
Top Bottom