noma balaaa hayo mambovipi ---- hilo wadau?
View attachment 142749
vipi ---- hilo wadau?
View attachment 142749
huyu hata havutiii...
miguu minene kama mtoto wa tembo
Mwallu upo..?!
Tema mate chini
Toka lini mchaga akawa na mpododo?
unakula mkia wewe aka kabaang
km huyu hapa,.. ndo tsti yakoNampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.
Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.
Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.
Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.
Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.
Asiwe na makalio makubwa.
Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.