Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Nimetoka kapa!!

Inaelekea anapenda mwenye makalio makubwa kwa ajili ya kustarehe naye tu lakini sio kuoa. Kwa ajili ya ndoa, anapenda wasio na makalio makubwa na sifa nyingine.

Maana yake ni kwamba hata akiisha oa, ataendelea kupita njia nyingine licha ya kuwa na njia kuu.
 
Tyta njoo na picha

Lady_Jaye_4_006.jpg
 
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?
Vipi huyu hapa dada yangu anakufaa nikuunganishe?
 
Msandawe Halisi, nahisi pepo la ngono limeshajenga makazi ndani ya roho yako. Unahitaji kupelekwa kwenye kanisa la wokovu uombewe!!!! Nashukuru mkoani kwangu Katavi hakuna watu wanaowaza waza mambo yako. Looooh, haya angalia haya hapa uurudike halafu uende kutubu!!!!

Four by Four.jpg
 
hii thread iko simple sana lakini kwa mwenye kufikiria kwa mapana ina ujumbe hasa kwa jinsia ya -ke inawaonywesha au kuwafundisha hasa aina ya wanawake ambao wanaume tunawataka kwenye ndoa zetu.
 
Msandawe Halisi, nahisi pepo la ngono limeshajenga makazi ndani ya roho yako. Unahitaji kupelekwa kwenye kanisa la wokovu uombewe!!!! Nashukuru mkoani kwangu Katavi hakuna watu wanaowaza waza mambo yako. Looooh, haya angalia haya hapa uurudike halafu uende kutubu!!!!

View attachment 142668

huyu hata havutiii...
miguu minene kama mtoto wa tembo
 
Just the way you are.. that was the best way ever. Keep on appreciating that dear.

Hivi vitu vya unene ni psychological satisfaction tu wala havina msingi wa kufikirika.
si kama mtu anayemtamani mwanaume mwenzake, unafikiri apo nini kinahusika?
UMBO sijui nini nini ni vitu visivyo na msingi ila kujiendekeza tu kwa kuiambia
marakwa mara akili yako unapenda flavour flani...
Kwani huwa ni ''default settings'' kwamba flani apende wanene na flani apende wembamba na Tized apende flati screen?

Interesting!!!!!
inakuwa weka mbali na watoto aisee
 
Back
Top Bottom