Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?
ndo naamka ngoja nipate chai
 
Nimetoka kapa!!
Hata mie pia, watu wakijificha nyuma ya keyboard wanawaza u.pu.u.zi badala ya kufanya kazi, hayo mapenzi yake yanatuhusu nini sisi. Hata kama kufurahisha jukwaa, hivi hajui kuwa leo kwaanza ndo J4. Au wale wa div.5? Khaa wanakera
 
mnaoweka picha za utupu huku na zinazoonesha wanawake wenye ------ ya ajabu zitatufukuzisha kazi sisi tunaoangalia tukiwa ofisini
 
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?

Huyu jamaa anawajua walipo hawa wa aina upendayo. Wasiliana naye kwa msaaa zaidi. Bofya hapa

Kipozeo - YouTube
 
Kwa mara ya kwanza jana nilitembelea hii blogu na siitaki tena, hiyo yote baada ya uwanja wa kimataifa kuwa katika maboresho ya miundo mbinu

Hahaha mkuu hutaki maujuzi
 
Hahaha mkuu hutaki maujuzi

Maujuzi ya kitoto sana(kama chekechea)

Mimi nataka sita kwa sita

Hata mchezo wa mpira wa miguu kuna tofauti kati ya cha ndimu na GOZI

Kifupi mimi nataka maujuzi kimataifa zaidi
 
Niwekee wa kanga moko sasa. Ila kua makini usije ukachafua hali ya hewa humu.

Hasa kango moko nw days wanamtindo wa kuvua nguo zote jukwaan....siwez post video hapa..ila.kam unatak kuangalia mega butty ingia youtube tafuta tweark team,mopouka etc. Hata kango moko utawakuta
 
Shaulilo utakufa ni wivu maana akiwa anatembea mtaani vijana watkuwa wanamwita hovyo, angalia tu usije ukarusha ngumi mtaani na kuishia Polisi.

Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?
 
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?

Njoo kwangu mie ninayo makalio, akili mie ni first class tu anzia secondary na vyuo hadi vya nje!!!Na mkwanja ninao mrefu. Mie wananiita figure 6 na guu la bia, nywele za kisomali, brown colour!!! Nicheck kwa PM basi.
 
Back
Top Bottom