Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?
 
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi. Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo. Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani. Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma. Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je?

Nimetoka kapa!!
 
Hayo ndo unayofikiria asubuhi asubuhi... inaonesha una ukame.

Leo nimechelewa kwa mkoloni, makitu niliyo kutana nayo kwa njia kuelekea kwa mkoloni. we acha tu, Mungu baba atukuzwe.

Hahahaaaaaaaaaaa wewe umelaaniwa asubuhi hii. Sasa hayo mawazo gani ulonayo hata wengine hatujamywa chai.
 
Kwa hiyo huwa unapenda kuyaangalia tu, kuyashika au mahaba yako yapo katika tendo gani haswaa?
 
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?

Huyu vipi
 
Attachments

  • 1393919975937.jpg
    1393919975937.jpg
    45.4 KB · Views: 1,690
Mmh sidhani kama kweli wasandawe ndivyo walivyo
 
Back
Top Bottom