miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
watu wengi wanachanganya unene wa mwanmke na makalio makubwa,mwanamke anaweza akawa mnene alafu asiwe na makalio makubwa,mimi napenda ya wastani,kila kitu kwa kiasi as long as sipendi wanawake wanene na pia sipendi makalio makubbwa saaana mpk iwe kero kitu portable na makalio ya wastani inatosha.
vikalio vya kupandishia mzuka hapo sawa mkuu nimekuelewa