Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
huyu hata havutiii...
miguu minene kama mtoto wa tembo
kiongozi eh......!Hahahaaaa.............labda hii
![]()
Sana tu jamani. Nawajulia kweli kweli. Ndio wenye kuweza kula pesa zangu.
Mkuu hii kitu kama unakibamia unaishia kwenye mipaja tu unamaliza shida zako unaondoka..yanini kulichosha hekalu...khaa..!!
kiongozi eh......!
mkuu hii kitu approved?
hii thread iko simple sana lakini kwa mwenye kufikiria kwa mapana ina ujumbe hasa kwa jinsia ya -ke inawaonywesha au kuwafundisha hasa aina ya wanawake ambao wanaume tunawataka kwenye ndoa zetu.
maana yake ni kwamba wanaume na wanawake wote tunashindana.......
Hii complimentary kwako............usimwambie Museveni
![]()
Weka picha bhana
Just the way you are.. that was the best way ever. Keep on appreciating that dear.
Hivi vitu vya unene ni psychological satisfaction tu wala havina msingi wa kufikirika.
si kama mtu anayemtamani mwanaume mwenzake, unafikiri apo nini kinahusika?
UMBO sijui nini nini ni vitu visivyo na msingi ila kujiendekeza tu kwa kuiambia
marakwa mara akili yako unapenda flavour flani...
Kwani huwa ni ''default settings'' kwamba flani apende wanene na flani apende wembamba na Tized apende flati screen?
Interesting!!!!!
acha uongo weweeee!!!
miss you miss chagga
no ina maana tunaangaalia sana tabia ndo kipaumbele cha kwanza, ila kama ukiwa na tabia nzuri alafu pia una makalio makubwa hiyo ni added advantagekwa hiyo unamaana wenye makalio makubwa ni wa kuchezea ?
no ina maana tunaangaalia sana tabia ndo kipaumbele cha kwanza, ila kama ukiwa na tabia nzuri alafu pia una makalio makubwa hiyo ni added advantage
okey okey!!!!! sasa kwa upande wako unapenda mwanamke gani aliye flat au makalio makubwa?
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.
Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.
Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.
Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.
Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.
Asiwe na makalio makubwa.
Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?