Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

Napenda mwanamke mwenye makalio makubwa

utaishia kuona vya watu.unapenda lakini hutaki kuowa? unaowa wa tofauti sasa unayeowa unampenda?
 
kwa mtindo huu halafu mnaanza kuwalaumu dada zetu wakitumia mchina.
 
Me sijaelewaa jaman!! kwani makalio kazi yake nini?
samahan lakin....!
 
hebu weka picha.....!

tumblr_inline_mlgybqDtj81qz4rgp.jpg
 
Msandawe Halisi, nahisi pepo la ngono limeshajenga makazi ndani ya roho yako. Unahitaji kupelekwa kwenye kanisa la wokovu uombewe!!!! Nashukuru mkoani kwangu Katavi hakuna watu wanaowaza waza mambo yako. Looooh, haya angalia haya hapa uurudike halafu uende kutubu!!!!

View attachment 142668

Mwee!! Mama mdogo, kuna tofauti ya ---- na tipwa tipwa! Hilo siyo ---- ni tipwa tipwa ---- ni hili nililoweka hapa.

Tako.jpg
 
kwenye thread hii wanawake wajifunze kitu kimoja,kuna wanawake wanapendwa na wanaume for fu.ck.ng sake na kuna wengine wanapendwa for marriage,sasa mdada anapendwa for fu.cki.ng sake yeye analazimisha ndoa utakesha mamaa!

pia midume mjifunze kitu kimoja,wanawake wengine are just for f.cking sake nyie mnaweka ndani!mtalia na kusaga meno,msandawe halisi kashawapa somo mjifunze!
 
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi.

Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo.

Akiwa anatembea yanacheza singida dodoma, singida dodoma. Akipunguza mwendo yanacheze dar Pwani, Dar Pwani.

Nayapenda sana Aloooo ha ha ha!!!! ila kwa sababu ya fu#k sake.

Mwanamke ambaye napenda aje kuwa mke wangu awe ni mwanamke mwenye akili sana, mrefu wastani na mwenye mwili wa wastani. Awe na akili ya utafutaji pesa na mwenye kujituma.

Asiwe na makalio makubwa.

Wewe je unapenda mwanamke wa namna gani?

Hahahaha sasa unapenda kuyaangalia tu au na kuyaminya minya kama embe?
 
Mimi nitabakia hivi hivi fahari ya macho aifilisi duka. Na huwa sijinyimi kugeuka na kuyaangalia popote pale. Hata nikiwa kwenye nyumba ya ibada.
 
Inaelekea anapenda mwenye makalio makubwa kwa ajili ya kustarehe naye tu lakini sio kuoa. Kwa ajili ya ndoa, anapenda wasio na makalio makubwa na sifa nyingine.

Maana yake ni kwamba hata akiisha oa, ataendelea kupita njia nyingine licha ya kuwa na njia kuu.

Kuuumbe! Basi hapendi' tamaa tu!
 
Loooh, ebu sikiliza mawadha ya huyu imamu anavyosifia wanawake waliojazia. Kalaghabaho!!!!

kwanza huyo ameongea kwa preference zake yeye,cha pili wanawake aliowataja hao sio kama huyu tipwa tipwa uliyemweka hapo juu hajulikani kama mzee au kijana...

cha mwisho ungekuwa mwanaume ungejua uzuri wa wanawake wembamba,naonge ahivyo nikiwa na experience ya sampuli zote mbili Kalaghabaho too
 
Last edited by a moderator:
Mimi nitabakia hivi hivi fahari ya macho aifilisi duka. Na huwa sijinyimi kugeuka na kuyaangalia popote pale. Hata nikiwa kwenye nyumba ya ibada.

itakuwa huko nyumba ya ibada hujui unaenda kufanya nini!
 
kwenye thread hii wanawake wajifunze kitu kimoja,kuna wanawake wanapendwa na wanaume for fu.ck.ng sake na kuna wengine wanapendwa for marriage,sasa mdada anapendwa for fu.cki.ng sake yeye analazimisha ndoa utakesha mamaa!

pia midume mjifunze kitu kimoja,wanawake wengine are just for f.cking sake nyie mnaweka ndani!mtalia na kusaga meno,msandawe halisi kashawapa somo mjifunze!

hii nd maana iliyojifucha nyuma ya hii thread i wish kila mtu angekuwa na uwezo wa kuiona.
 
Back
Top Bottom