meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.
Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.
Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.
Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.
Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.
Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.
Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???
Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@
Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.