Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii! | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by meningitis, Jul 25, 2015.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

  Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

  Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

  Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

  Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

  Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

  Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

  Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

  Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
   
 2. G

  Getstart JF-Expert Member

  #21
  Jul 25, 2015
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,092
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Lowassa hajasema wala kutenda kiuhakika kwamba anataka au hata kufikiria khamia upinzani. Kauli yake rasmi ni ...sina plan b ...asyenitaka yeye ndiye aondoke CCM. Wanaoeneza uvumi huu ni vijana tena toka chama tawala!
   
 3. j

  jebibay JF-Expert Member

  #22
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 3, 2012
  Messages: 1,404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu hakuna kitu kama hicho wala usihofu !. Hizi ni propaganda za wachumia tumbo wa Lowassa pamoja maCCM.

  UKAWA hawawezi kufanya huo upuuzi.

   
 4. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #23
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 914
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Matatizo ya kusoma miaka mingi meningitis acha kuweweseka cdm\ukawa ndo habari ya mjini
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #24
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Message is clear and sent!!
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #25
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Unachoelewa wewe miaka hii nilishakitambua miaka mingu iliyopita.
  Ukubwa ni dawa..hujui ninachokijua.
   
 7. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #26
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 914
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Haya bwana meningitis na manati yako shingoni,njoo nipime pulse rate
   
 8. Usher-smith

  Usher-smith JF-Expert Member

  #27
  Jul 25, 2015
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 6,505
  Likes Received: 5,394
  Trophy Points: 280
  Braza umepaniki
   
 9. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #28
  Jul 25, 2015
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,947
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Bodaboda na Machinga ndio nguvu kubwa ya Lowassa ilipo..... Safari hii CCM wana kazi....

  M4C + 4UM........ Ni moto wa kuotea mbali
   
 10. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #29
  Jul 25, 2015
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,099
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  na wameonesha udhaifu sana yaani hakuna hata kiongozi mkuu wa chama hata mmoja anayekanusha huu uvumi.. hata hii mikutano mikubwa.. wako kimya.. kwakweli.. kazi tunayo wengine.. na hivi vyama.. ukweli kuna sintofahamu kubwa.. na kuna kazi kubwa ya kuelimisha hasa baadhi ya vifuata upepo ndani ya cdm..
   
 11. K

  Kwamhuzi JF-Expert Member

  #30
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 15, 2014
  Messages: 1,767
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Naichukia CCM sana.Let me be frank,naichukia kiasi kwamba nikiona yale magwanda yao, mwili mzima una sisimka.Hata hivyo niungane na wewe mkuu, napenda CCM iondoke,lakini kama replacement yake ni hii ya fisadi Mbowe aliyefisidi billioni 10 za fisadi Ngoyai, nilitakalo silijui.
   
 12. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #31
  Jul 25, 2015
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,099
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kama ni mpinzaƱi na una akili timamu uwezi shabikia baadhi ya makapi hasa makapi ambayo yanaonesha hayafai kurudiwa kuchujwa...
   
 13. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #32
  Jul 25, 2015
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Endapo #UKAWA watakubali kumpokea Lowasa na kumpitisha kuwa mgombea wa uraisi nitawaona viongozi wote wa #UKAWA ni wajinga kabisa ,sitawaamini tena .najua upinzani tunahitaji ushindi lakini kumweka Lowasa dada Tetty hapo utanielewa #UKAWA USHINDI BILA LOWASA INAWEZEKANA
   
 14. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #33
  Jul 25, 2015
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Teh tih toh! Ati mwana ccm ha ha haaa! Mwana ccm anayeipenda Chadema.. Aisee MNA vituko nyie..!
   
 15. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #34
  Jul 25, 2015
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red sijakuelewa ndo kikundi gani hicho?
   
 16. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #35
  Jul 25, 2015
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 26,400
  Likes Received: 17,598
  Trophy Points: 280
  Japo sijakuelewa lakini nikiaminicho na ninategemea wanachama na viongozi wa CDM wanalijua hili kwamba CDM bila Lowassa inaweza sana Tena sana
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #36
  Jul 26, 2015
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,191
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Huo nao ni unafiki
   
 18. mimitungi

  mimitungi JF-Expert Member

  #37
  Jul 26, 2015
  Joined: May 14, 2013
  Messages: 631
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  UKAWA kura yangu mtaikosa akisimama Lowassa.
   
 19. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #38
  Jul 26, 2015
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,660
  Likes Received: 14,687
  Trophy Points: 280
  Sekeseke la Akatwe asikatwe limehamia Chadema...tuone ukomavu wao wa kisiasa sasa.
   
 20. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #39
  Jul 26, 2015
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  #CHADEMA tuna uwezo wa kushinda bila nguvu ya Lowasa utakuwa umenielewa sasa
   
 21. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #40
  Jul 26, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,843
  Likes Received: 3,644
  Trophy Points: 280
  Chama kimenunuliwa, m/kiti karudia asiri yake ya kusujudu pesa tokea wakiwa watoto sasa mafisadi wanahama CCM wanavamia CDM ..Liwassa na chain yake wanahamia CDM rasmi na najiuluza, wataendelea kuwaita chenge, rostamu na Tibaijuka mafisadi? make boga lina maua yake pia.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...