Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
 
Meningitis ikiwa UKAWA hawatamsimamisha Lowassa utajitokeza wazi kuwaambia magamba wenzako kuwa unafiki sasa basi???
 
Sina haja ya kujitokeza kwa kuwa msimamo wangu uko wazi ...fuatilia posts zangu za JF utaelewa ninachokihitaji kutoka kwa wanasiasa iwe ccm au chadema!
 
Kwa hii njia ya kumtegemea lowasa wanajisumbua tu hapo lazma wakose kura nyingi tu za watu na hawataaminika kamwe. Magufuli atashinda mapema sana wakimweka lowasa
 
lowasa anakuja na wenyeviti wa mikoa na wilaya 150,na watagombea ubunge kupitia ukawa,,,,,,ha ha ha
 
Mbowe ameuza chama cha makamanda kwa 10bn..inachekesha sana jinsi makamanda walivyo watumwa wa fikra!
 
Uwepo wa Lowassa ni kuchukua idadi ya wapiga kura wa CCM.
Binafsi sishauri Ukawa wamsimamishe Lowasa ila aje awe ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom