Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by meningitis, Jul 25, 2015.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

  Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

  Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

  Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

  Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

  Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

  Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

  Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

  Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
   
 2. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2015
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,852
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  lakini lowasa ndo anapendwa na bodaboda,kwakweli utatusamehe mkuu
   
 3. Ryaro wa Ryaro

  Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2015
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 2,663
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kuondoka ni Kuondoka tu.. Hawafai Wakae Pembeni Kwa style yoyote ile.
   
 4. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2015
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kitu nilichogundua ni kuwa UKAWA wanatambua kuwa hawana viongozi wenye sifa ba uwezo wa kushinda urais ndio maana wanatafuta kutembelea nyota za viongozi wa CCM kama Lowassa.
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2015
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,524
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280
  Itabidi tu uwatose, maama hakuna namna nyingine.

  Kama wao wanajiona Wababe zaidi, Warnaelewa zaidi..... Wee watose tu maana umechoka sasa.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Omulangi

  Omulangi JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2015
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,028
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Meningitis ikiwa UKAWA hawatamsimamisha Lowassa utajitokeza wazi kuwaambia magamba wenzako kuwa unafiki sasa basi???
   
 7. Kinjekitile junior

  Kinjekitile junior JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2015
  Joined: Apr 20, 2015
  Messages: 4,319
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mkuu uko shimoni!
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Sina haja ya kujitokeza kwa kuwa msimamo wangu uko wazi ...fuatilia posts zangu za JF utaelewa ninachokihitaji kutoka kwa wanasiasa iwe ccm au chadema!
   
 9. Kinjekitile junior

  Kinjekitile junior JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2015
  Joined: Apr 20, 2015
  Messages: 4,319
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Magwanda ni wanafiki sana hawawezi kutekeleza ahadi wala kufanyia kazi taarifa wanazozitoa kwa wananchi!
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Sema baadhi ya Magwanda mkuu!
   
 11. Kinjekitile junior

  Kinjekitile junior JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2015
  Joined: Apr 20, 2015
  Messages: 4,319
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mkuu kama wakuu wao ni tatizo basi ni wote!
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Sipendi kugenaralise...au kutumia logic!
   
 13. Mussolin5

  Mussolin5 JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2015
  Joined: Apr 23, 2015
  Messages: 17,581
  Likes Received: 61,881
  Trophy Points: 280
  Kwa mipango ya Kijasusi, Lowassa ni double agent. Ukawa wawe makini.
   
 14. Diva Beyonce

  Diva Beyonce JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2015
  Joined: Mar 6, 2014
  Messages: 12,953
  Likes Received: 6,067
  Trophy Points: 280
  Kwa hii njia ya kumtegemea lowasa wanajisumbua tu hapo lazma wakose kura nyingi tu za watu na hawataaminika kamwe. Magufuli atashinda mapema sana wakimweka lowasa
   
 15. Kinjekitile junior

  Kinjekitile junior JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2015
  Joined: Apr 20, 2015
  Messages: 4,319
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145

  Hao hawatoseki ukijaribu unajikuta umenasia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. DONNGO

  DONNGO JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2015
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 369
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Hapana lowasa ndio chapuo sahh kwa hapa tulipofikia
   
 17. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2015
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,852
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  lowasa anakuja na wenyeviti wa mikoa na wilaya 150,na watagombea ubunge kupitia ukawa,,,,,,ha ha ha
   
 18. DuppyConqueror

  DuppyConqueror JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2015
  Joined: Mar 30, 2014
  Messages: 9,155
  Likes Received: 4,387
  Trophy Points: 280
  Mbowe ameuza chama cha makamanda kwa 10bn..inachekesha sana jinsi makamanda walivyo watumwa wa fikra!
   
 19. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Haji na wanachama waliofiwa na ndugu zao kwenye mabomu na risasi
   
 20. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,688
  Likes Received: 12,208
  Trophy Points: 280
  Uwepo wa Lowassa ni kuchukua idadi ya wapiga kura wa CCM.
  Binafsi sishauri Ukawa wamsimamishe Lowasa ila aje awe ndani ya chama.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...