NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

Gracious,
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII

Laiti ungejua kama wewe ni public figure na kiongozi wa juu wa chama tawala usinge behave hivi kitaarab taarabu.Mwenzio mtatiro anapata challenge nyingi kutoka kwa CHADEMA lakini anazijibu kwa hekima.Wewe una tatizo la msingi,kama usipoangalia kwa makini hasa hasa katika kauli zako ambazo hazioneshi kwamba ume mature tutashindwa kukutofautisha na kina makamba senior ambae alikua mropokaji.

Suala sio kufundishwa kazi.Kiongozi makini ni yule anayeweza kuchukua challenges na kuzi overcome maturely.Be careful bwana mdogo
 
Gracious,
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII

Wallahi Billahi! hivi huyu ni Nape huyu huyu wa CCM au ni mtu katumia jina lake? kama ni yeye basi sina budi kuamini kuwa TZ kupitia CCM hawana vijana watakaoweza kuongoza taifa hili baadae, duu! wengine akina lusinde, mwigulu ni FYONGO tupu kama nape labda january ana afadhali iwapo hatadandia upunguani kama wa hao wenzake lakini nape siamini kama hicho cheo alichopewa kinafanana naye labda awe tarishi wa mukama!
 
Mwisho wa siku ccm ndio mshindi huyo nape anaeza badilishwa muda wowote na hao cdm wanaeza jiunga na ccm muda wowote, mnaijua historia ya zitto,slaa,lema na mbowe kwa undani zaidi??? Basi mngejua kwanza kama mngebaki cdm nyie wazalendo
 
Here we go. Ndio viongozi wetu hao. Ujinga, Uwongo na majibu mepesi ndio silaha yao. Hawana njia nyingine ya kuungwa mkono zaidi ya kuwadanganya wananchi. Ndio maana wamepoteza ufuasi Kwa watu wenye ajili zao. Bahati walio nayo ni kwamba, katika Miaka 50, walifanikiwa kuhakikisha kuwa watu wachache tu wanapata elimu ya maana tena Kwa juhudi zao. Hata hivyo Mungu mkubwa, watu wameanza kujielimisha Kwa kasi hadi huko vijijini na ndio maana ushindi wa kishindo umepotea ghafla. Hata majibu bata kama Haya ya Nape ni elimu tosha.
 
Advocate Jasha,

Haya maswali yako nimeyajibu sana sana..... Pengine hebu ni jibu Chadema ndio waliotoa list of shame( kama walivyoiita).... Niambie kiongozi gani Igunga wa Chadema amezungymzia ufisadi?

Binafsi ningependa kusikia jibu la swali hili. Kwani nami ninalo hivyo hivyo. CDM imetambulika zaidi kutokana na kuongoa vita dhidi ya ufisadi; lakini Igunga ambako anatoka RA - mwenye kuhusishwa na kashfa kadha wa kadha za ufisadi na ambaye alithubutu kujitokeza siku ya ufunguzi wa kampeni - hoja ya ufisadi haitajwi, RA hatajwi wala kuonesha kuwa ni maamuzi ya wana igunga yalimleta RA.. .. nasubiri sana jibu la swali hili maana linaendana na swali la kwanini Kafumu hakuusishwa na RA katika mambo fulani fulani...
 
Nape.
jaribu kujibu maswali unayoulizwa kwa hekima ndio msingi wa majadiliano, sasa umezama zaidi kwenye mipasho.
Wewe kiongozi wa juu wa CCM unatakiwa utumie kauli kama kiongozi, unaleta habari za chandimu kwenye mambo ya msingi.

Kuna kitu kweli watu wanaweza watajifunza kutoka kwako kama kiongozi ebu badilika wewe bado kijana mdogo!
 
Here we go. Ndio viongozi wetu hao. Ujinga, Uwongo na majibu mepesi ndio silaha yao. Hawana njia nyingine ya kuungwa mkono zaidi ya kuwadanganya wananchi. Ndio maana wamepoteza ufuasi Kwa watu wenye ajili zao. Bahati walio nayo ni kwamba, katika Miaka 50, walifanikiwa kuhakikisha kuwa watu wachache tu wanapata elimu ya maana tena Kwa juhudi zao. Hata hivyo Mungu mkubwa, watu wameanza kujielimisha Kwa kasi hadi huko vijijini na ndio maana ushindi wa kishindo umepotea ghafla. Hata majibu bata kama Haya ya Nape ni elimu tosha.

ninachokiona kwa vizingizio wetu, wanashindwa kusoma nyakati. Wanashindwa kujua kuwa hauwezi kuzuia mabadiliko, ila unachoweza kuzuia ni madhara ya mabadiliko.
Wanapaswa kujua kuwa mfumo umebadilika, nao pia wanapaswa kubadilika.
Msimu huu si wa kuendesha siasa chafu, wananchi wamebadilika, wanahoji!
Ccm inapotea kwa kukosa maarifa.
 
Kamanda Mwanakijiji,
NIKUSHUKURU KWA DHATI KUPIGIA MSTARI SWALI LANGU, MAANA TUSIJE TUAKAJADILI KISHABIKI TU.. SALUTE YOU KAMANDA...
 
Nape alitumiwa na Chadema kuunda chama na Mpendazoe ili kukisambaratsiha CCM alitumia style ya Odinga huu ndio ukweli kama hamujui Nape ana uanachama siku nyingi. Wakubwa wanamhifadhi tu kwa maslahi yao na ndio alipoondolewa mjini na kupelekwa vijijini baada ya Usalama wa taifa kumshtua Rais na aliamua kumpa mkate wa ukuu wa Wilaya il iapunguze makali ya kukisambaratisha CCM huyu ni mwenzenu na anafanya kazi kubwa kijenga Chadema kwa siri kama hamujui. if you remember CCM was collapsing with out NAPE kubadilsiha msimamo baada ya kuitwa Ikulu na kuambiwa aachane na huo mpango wa kukisambaratisha Chama huko CCM sio kwamba anaaminika ndio ukaona hata Igunga hakupelekwa kwa hofu ya kuweza kuuza uchaguzi kwa chadema Jikumbusheni hawa CCJ kwa nini kwanza wlaikua wat uwa siri kwa nini utake kuunda chama ufanye siri ? reacting to Mr Mpendazoe's announcement, Chama Cha Jamii (CCJ) officials bragged that the MP's decision to join it was just an early signal of the new party's potential strength.

CCJ secretary general Renatus Muabhi said: "Ours is a strategic party. We expect many CCM stalwarts to join us, as the clock ticks towards the October elections."
Kama CCJ hakikutaliwa kuandikishwa basi CCM ilikwisha sanbaratika kuna hata Mabalozi wanne wote Wakristo wanaoiwakilisha Tanzania walikwisha kuingia kwenye list ya kuismbaratisha CCM na kutoa ushauri kwa CCJ huu ndio ukweli ila nina hakika Nape atakanusha yote haya. Na mabalaozi hawa waliambiwa Kikwete ni mdini anawabana Wakristo ndio na wao wakakosa imani na Rais wao ndio mabadiliko hayo ya CCM kuondolewa Makamba Muislamu na kuekwa Viongozi wengi Wakristo kwenye CCM ili kuondoa dhana ya udini iliomkumba Kikwete na slogan hii ilitumika kuwa ndio sababu Lowassa aliondolewa kwa vile alikua napigania maslahi ya Wakristo Rushwa na uzembe wake ilikua ni kisingizio tu. Hata Rafiki wa Karibu wa Rais alikuamo kwa siri kwenye kundi la kupigania hak i z a Wakristo kwa kupitia CCJ kwa vile yeye aliamini alikua ana deserve kuwa chaguo la Rais la Uwaziri Mkuu baada ya kuondoka Canada. Kuna memeorandum nyingi zilietembea nje ya nchi na emails juu ya mipango hi iya kuisambaratsha CCM.
 
Gracious,
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII

Mdogo wangu Nape,

Sio lazima ujibu kila kitu. Wakati mwingine kunyamaza linaweza kuwa jibu tosha lakini ukijibu unaweza kujikuta umeharibu mambo zaidi. Kwa mfano, hapo juu sidhani kama kiongozi wa hadhi kama yako anafaa kutumia lugha kama hii ambayo naweza kuiita ya kihuni.

Jambo jingine pia usidhani kila anayeonekana kutoipenda CCM basi ni Chadema, hapo unakuwa umekosea sana. Wapo watu wengi hawakubaliani na CCM na hawaridhishwi na hali iliyopo sasa katika nchi inavyoongozwa baadhi wana matumaini kwamba huenda CCM wakajisahihisha na mambo kwenda vizuri baadae hao wanahitaji kumsikia kiongozi mkubwa kama Nape akitoa hoja makini zenye kureflect matumaini hayo lakini wakipata majibu ya kuwatuhumu kwamba wao ni Chadema matumaini yao yanageuka kuwa kukata tamaa na hivyo CCM inakuwa imewasukumia mbali zaidi ya pale walipokuwa na hivyo kupoteza wapigakura wenu wengi wa baadae.

Halafu kumbuka JF ina watu wengi wanaofuatilia na kupata habari wanatarajia viongozi wao kama Nape wazungumzie "low voters turn out" kwa hoja tulivu sio kwa kauli rahisirahisi kama ulivyojaribu kusema wewe.

Tafadhali nakuomba sana Nape jaribu kutulia achana na watukanaji, jibu penye ulazima na kwa hekima ya hali ya juu.
 
Hatari sana kuwa na watu ambao kazi zao ni "kuongea". Ni bora akae kimya kwa sababu maswali yanayotokana na uchaguzi wa Igunga ni mazito na hawezi kuyajibu. Atabaki kuzunguka tu.
 
Nape wapeeeeee.........
Vidonge vyaooooo.....
Wakimeza wakitemaaaa......
Shauri yaoooooooooo..........
 
Nadhani kuna ukweli kwenye madai yake. Unajua watu wa vijijini ni waoga sana. Kitendo cha Magwanda kwenda na mapanga kiliwafanya wanyong'onyee na waogope sana.

bastola jukwaani haikuwa tishio?
 
Nilijitahidi sana kutofungua na kusoma hii mada, lakini imenishangaza sana kuona jinsi inavyosonga mbele.

Kauli na majibu ya Nape ni muendelezo uleule wa Viongozo wetu: KUTOA MAJIBU MEPESI KWA MASWALI MAGUMU.
 
Gracious,
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII
Nape acha kuwatia wazimu hawa jamaa, bado wana hasira ya kushindwa. Wasije kutulilia hapa bure.
 
Mdogo wangu Nape,

Sio lazima ujibu kila kitu. Wakati mwingine kunyamaza linaweza kuwa jibu tosha lakini ukijibu unaweza kujikuta umeharibu mambo zaidi. Kwa mfano, hapo juu sidhani kama kiongozi wa hadhi kama yako anafaa kutumia lugha kama hii ambayo naweza kuiita ya kihuni.

Jambo jingine pia usidhani kila anayeonekana kutoipenda CCM basi ni Chadema, hapo unakuwa umekosea sana. Wapo watu wengi hawakubaliani na CCM na hawaridhishwi na hali iliyopo sasa katika nchi inavyoongozwa baadhi wana matumaini kwamba huenda CCM wakajisahihisha na mambo kwenda vizuri baadae hao wanahitaji kumsikia kiongozi mkubwa kama Nape akitoa hoja makini zenye kureflect matumaini hayo lakini wakipata majibu ya kuwatuhumu kwamba wao ni Chadema matumaini yao yanageuka kuwa kukata tamaa na hivyo CCM inakuwa imewasukumia mbali zaidi ya pale walipokuwa na hivyo kupoteza wapigakura wenu wengi wa baadae.

Halafu kumbuka JF ina watu wengi wanaofuatilia na kupata habari wanatarajia viongozi wao kama Nape wazungumzie "low voters turn out" kwa hoja tulivu sio kwa kauli rahisirahisi kama ulivyojaribu kusema wewe.

Tafadhali nakuomba sana Nape jaribu kutulia achana na watukanaji, jibu penye ulazima na kwa hekima ya hali ya juu.
Mbona viongozi kibao wa CDM wako hapa JF kwa majina tofauti na wengi kazi yao ni kutukana hovyo. Bora yake yeye amekuja na ID yake ya kweli .
 
Binafsi ningependa kusikia jibu la swali hili. Kwani nami ninalo hivyo hivyo. CDM imetambulika zaidi kutokana na kuongoa vita dhidi ya ufisadi; lakini Igunga ambako anatoka RA - mwenye kuhusishwa na kashfa kadha wa kadha za ufisadi na ambaye alithubutu kujitokeza siku ya ufunguzi wa kampeni - hoja ya ufisadi haitajwi, RA hatajwi wala kuonesha kuwa ni maamuzi ya wana igunga yalimleta RA.. .. nasubiri sana jibu la swali hili maana linaendana na swali la kwanini Kafumu hakuusishwa na RA katika mambo fulani fulani...

MM: every politics is local. Ufisadi Kwa maana ya EPA etc Sio issue vijijini. Ufisadi wa kijijini ni manyanyaso, kukosa maji, barabara, bei kupanda etc. Na usisahau Rostam aliachia ubunge Kwa sababu ya chama chake na Sio shinikizo la wananchi waliomchagua, Kwa Hiyo ilikuwa ni muhimu kudeal na chama chake badala ya kudeal naye moja Kwa moja. Kabla ya kudeal na Rostam ilikuwa ni muhimu kwanza ujue Kwa Nini walimchagua in the first place.
 
Wana Jamii forums nachokiona hiki si cha kushangaza sana nilichokigundua Makatibu wengi wa Chama Cha Mafisadi (ccm) ni waropokaji ambao uwezo wao wa kufikiri uko below 0 negative kwa mstakabali wa nchi yetu ni waropokaji,wazushi,wazunguza pumba na ukiwabana hawana cha kujitetea sidhanai kama watakuwepo 2015 tuombe Mungu
 
Back
Top Bottom