Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Naloli,
SIKU MKITUSUMBUA KWENYE UCHAGUZI TUTABADILI MBINU, LAKINI KWA STYLE HII YA KUTAMBAA WAKATI WENZENU TWAKIMBIA HII INAWATOSHA, GOLI LINALOUMA NI LILE UNALOFUNGWA MOJA BILA AU MBILI MOJA NA SIO KUMI KWA TATU
Afadhali mmekiri kuwa tuliwasumbua,japo sisi hatukuwa na jeshi/mawaziri Serikalini/Bakwata/Wakurugenzi Wa Manispaa/kutusingizia kila kitu kibaya kimefanywa na Chadema!!!!Chadema peopless Power mwanzo mwisho na vijana Arusha tunakusubiria uje na umbea wako lazima tukukalishe.