Kwani msimamo wa Tucta na Tughe ndio msimamo wa Wafanyakazi tz?
Wamachinga si wamesema wako radhi kuandamana ili mzee baba aongozewe miaka ya kutawala maana kipindi hiki wao ni ma don wanapiga hela ile laana.