Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...
Yaani serikalo hii inaongozwa na kichwa cha mtu mmoja tutegemee economic paralysis in its totality.

Wenye akili wanajua na wenye macho wanaona ila tatizo wanashangilia kama mazuzu kwa kua yameokotwa majalalani
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...
Haya tusubiri kuona kama bwana atafurahishwa na haya. TAL alishasema haya kitambo na watu hawahawa wakamubishia. Sasa wanakiri kuwa TRA inatafuna biashara.
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...
So tumeambiwa kwasada tunakusanya tirilioni 2 kwa mwezi? Au tunadanganywa?
 
Back
Top Bottom